4-3-2-1
1-van de sar
2-maicon
3-lizarazu
4-vidic
5-terry
6-viera
7-beckham
8-zidane
9-ronaldo luis de lima
10-gaucho
11-lion messi.
4-3-2-1
1-van de sar
2-maicon
3-lizarazu
4-vidic
5-terry
6-viera
7-beckham
8-zidane
9-ronaldo luis de lima
10-gaucho
11-lion messi.
Miaka 10 iliyopita Ronaldo de Lima alikuwa anacheza bado?
Kikosi chako ni kizuri ila sijakuelewa yafuatayo
1.kumuweka maicon badala ya lahm au cafu
2.lizarazu badala ya Paulo maldin au Robert Carlos
3.Beckham badala ya CR7,figo au pirlo
Kikosi changu ni wachezaji wooote waliocheza vizuri katika miaka 10 iliyopita. Haya mambo ya kutengeneza vikosi bora sasa imekuwa non sense! Kama kweli unafuatilia mpira na sio shabiki maandazi huwezi kuwa na listi ya wachezaji bora 11 TU katika miaka 10 iliyopita.
Mkuu una roho ngumu sana.. Yani toka 2005-2015, unampiga benchi messi, Cr71. Oliver kahn
2. Cafu.
3. Roberto carlos
4. Alesandro nesta
5. Rio ferdinand
6. Claude Makelele
7. David beckham
8. Zinedine zidane.
9. Ronaldo de lima
10. Totti
11. Ronaldinho gaucho.
SUB :
Etoo, Gatusso, kaka', messi, cristiano ronaldo, canavaro, riquelme, Maldin, cassilas, Lahm