Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

Deiwaka chini ya sebastian maganga na ops,,, kila alhamisi top ten, ilikuwa sio poa
 
Vipindi vyenyewe ndo hivyo
"bango kubwa" , sijui "lock nene" "babako"
"no ur rede"

Vipindi vyenyewe ndo hivyo
"bango kubwa" , sijui "lock nene" "babako"
"no ur rede"

Sikilizeni nyie tu
Huyo jamaa hata kama ni swagger, me huwa naona anazingua.. bora wakati anafanya YouTube kabla hajaingia kwenye hizi mainstream media
 
Duuu kwangu Planet bongo tuu kwa muda huo ndio huwa naona afadhali tena Ijumaa heshima ya bongo fleva kwangu ndio huwa sikosi pale ninapokua na redio... bado kuna ngumu nyeusi vi dondoo vya michezo humo humo wanajitahidi
 
Hakuji kutokea radio ilikuwa na vipindi vikali kama kiss fm enzi hizo mitaa yote station ilikuwa inasikilizwa na wajanja n hyo kiss fm ya zamani.
amini kwamba ile Kiss FM ambayo walikuwa wanabonga kizungu, hapa DJ Maliz kwenye mashine afu D7 kwenye mic.. dah ile show miaka 100 , kama sikosei ni 2005 hivi mpaka 2006 na kuendelea kidogo ilikuwa fire sana
 
Kwanza jiulize wewe mwenyewe, kataka hivi vipindi vitatu ubora wao ni nini....mbona wote wako fake tu. Watangazaji wanabana sana pua kujifanya black Americans wakati hata huko Marekani kwenyewe wamarekani weusi hawabani pua wakiwa wanatangaza. Hawana ubora wowote as wote wako useless na wannabes tu wa kijinga!
 
Kwa pale XXL ni nan anabana pua..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…