Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Kwa akili yako, wewe utakuwa Lusinde wa pili pale Bungeni.ulishawahi kukutana na kadhia hii ya ukavu na kukauka kwa via vya uzazi wakati ukiwa faragha na mwenzi wako?π
ulikabiliana vip na mazingira hayo, ukiendelea au busara ilikuelekeza kuahirisha zoezi hadi wakati mwingine muafaka?π
Pesa ni kilainishi muheshmiwa.....Katika mazingira fulani, hua panapotokea ukavu au kukauka kwa sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa..
Je, usahihi na usalama wa afya ya tendo lenyewe ni kutumia mate au mafuta kulainisha sehemu hizo zilizokauka au kavu?
Na vipi mkaishia hapo kwa siku hiyo, mpaka tena wakati mwingine patakapokua na ute wa kutosha, kisha muendelee tena na tendo, kuna ugumu wowote ndugu zangu?
Na, ni aina gani ya mafuta ambayo ni salama zaidi kwa afya, na aina ipi ni hatari kwa mustakabali mwema wa afya ya via vya uzazi vya wahusika kwenye tendo lenyewe ?π
MAte yanawahi kauka,tafuta kohozi au kamasi kabisa uendelee kuteleza kwa muda mrefu,pompoma hunaga akiliMimi huwa nikiona Mbunye Kavu wala sihangaiki juu ya Kuilanisha bali haraka sana Naitemea Mate nachomeka Chuma.
kwan kuna ubaya gani gentleman,Kwa akili yako, wewe utakuwa Lusinde wa pili pale Bungeni.
kwahiyo unachangia vizuri tu kwa mahohozi na makamasi halafu mwishowe unahitimisha kwa kunipopoma kweli?MAte yanawahi kauka,tafuta kohozi au kamasi kabisa uendelee kuteleza kwa muda mrefu,pompoma hunaga akili
au muulize chawa mwenzako mwashambaCCM hadi kwenye ukavu wa kwenye tendo la ndoa gentleman π€£
Anakua kakuzoea anakuona wa kawaida,Sasa hapa unabaki ule upendo wa kawaida,Hivi ni kwanini mwanamke ukianza nae mahusiano ile mwanzo mwanzo ute hua unachuruzika wenyewe mpaka kufikia kulowesha ch*pi, lakini kadri siku zinavyoenda hali ya ukavu na ukame kunako via vya uzazi inashika hatamu mpaka kulazimika kuanza kufanya kilimo cha umwagiliaji?
Au ndio mabadiliko ya tabianchi?
Ipo hivyo, utelezi unatoka kwa mwanaume unayempenda bila hata kutumia nguvu,ukiona unalazimisha upendo umeishaNamimi hicho hua ndio kipimo changu cha kujua kama mwanamke bado anani feel. Ukisha anza kuona unalazimika kutumia vilainishi ujue hapo mjomba unafosi mambo hakuna mapenzi tena unapewa basi tu ili uendelee kuchunwa.
machawa wa ccm manyumbu sana kilakitu hamuelewi mjinga wewekwamba umekutana na ukavu au kukauka kwa via vya uzazi ulipokutana na mwenzi wako,right?
Kwa kifupi tu tukubaliane kwamba mwanamke akishakuchoka hata umpe nini haisaidii. Hata ukimpa hela kuna wakati nazo anazizoea, hata unyonye papuchi kuna wakati atazoea, hata usimamie kucha kiasi gani kuna wakati atazoea, na akishazoea utelezi utausikia kwa jirani πAnakua kakuzoea anakuona wa kawaida,Sasa hapa unabaki ule upendo wa kawaida,
Au pengine humpi hela.
Utelezi lazima uje kwa mwanaume unayempenda,yaan hata akikuangalia tu chupi imeloa
Maandalizi na mazoea labdaHivi ni kwanini mwanamke ukianza nae mahusiano ile mwanzo mwanzo ute hua unachuruzika wenyewe mpaka kufikia kulowesha ch*pi, lakini kadri siku zinavyoenda hali ya ukavu na ukame kunako via vya uzazi inashika hatamu mpaka kulazimika kuanza kufanya kilimo cha umwagiliaji?
Au ndio mabadiliko ya tabianchi?
Popoma hanaga akili,ukimfuatisha utapotea.kwahiyo unachangia vizuri tu kwa mahohozi na makamasi halafu mwishowe unahitimisha kwa kunipopoma kweli?
ndio tumefikia hatua hiyo kamanda?