Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Kwanini anakunyima wakati ni haki yako ya msingi? huenda kuna tatizo kwa upande wako.
 
Andaa mazingira ya kufanya akuhitaji wewe kimwili kabla hujamuhitaji wewe.... Wanaume mnafeli sana mkioa mnataka mfanye lile jambo kama kuku....
 
Kama mna tofauti Jitahidi kuzitatua kwanza, kisha mfanye akuone kama vile ndo unamtongoza tongoza, maneno matam , ukitoka mletee vizawadi, ukifika home mkute mkiss, yote ili arudishe hisia zake kwako.... Ukikaa nae cheza nae kama mtoto, mshike taratibu hapa na pale.... Sio jiwe huyo ana hisia zitakuja atakuhitaji tu......... Sasa huo mwendo uwe kila mara ukitoka mtext msifie mwambie jinsi gani unafurahia mnavopeana mambo, mwambie unatamani kila siku awe anakupa...... Hehehehe bwana we kwa ufupi ni hivyo na vingine vingi nshachoka kuandika.
Toa somo basi mkuu
 
Oooh deby [emoji23][emoji23] nimeipenda hiyo njia na mmi pia naitumia ingawa anaonyesha kutotishika sana
 
Rudi chamani chaputa kuepusha mengi, ndoani kuna kuchokana kwahiyo tegemea hayo,
 
Ngoja nikupe mbinu mkuu naona unateseka mwanaume mwenzangu,

dawa na mbadala wa hili ni moja tu jaribu kuwa mbunifu kwenye mapenzi na ujanja mwingi kwa mkeo, sio kila siku unaombea mechi nyumbani kwako jaribu kubadilisha mazingira, mtoe outing nyingi pia mwambie unatamani makalale nje ya nyumba hasa weekend mkainjoi huko mbebe na wine [emoji485] hakika utakuja kunishukuru sana mzee iceberg hapa, mazingira pia huleta penzi kuchipua na outing nyingi mnapotoka mnapata nafasi kuzungumza kila mmoja changamoto zake
 
Kitu nilichugundua kingine mwanamke huchukia sex nyumbani kwanza huwa tunafanya haraka ambapo haimpi raha mwanamke, pia anakua hawezi kujiachia kufanya nyumbani kwa kuwa anashindwa hata kujiachia misisimuko anajizuia kupiga hata kelele akihofia watoto au watu walio nyumbani watasikia so hoja yangu ile mtoe outing itakusaidia

Achana na chaputa hulegeza mishipa ya kwenye uume
 
Piga punyeto bwana mbona vitu vingine ni kujiongeza tu,

Enewei karibu CHAPUTA
 
Pia ubunifu mwingine msifie mkeo mzee, ukiwa kazini mtumie msg mwambie nipo busy ila nimekumbuka tu upaja wako hapa hata kazi hazisogei, chuchu zako huwa zinanipa moto sana, so pitia ujumbe huo unamuasha hisia zake na kumfanya ajue unamuwazia mara kwa mara na unampenda kwanini asikupe sasa tunda mzee, itakua ni uzembe wako
 
Hivi nani amewadanganya mchepuko ndiyo tiba... Msiruhusu michepuko kuingilia kati ndoa zenu wanaumwa wenzangu suluhu zipo jamani,

siku ya mwisho utamchoka mkeo kabisa maana utamuona mchepuko ni mtamu zaidi ya mkeo na kunogewa
hiyo K anayoringia nayo, jua hayupo peke yake mwenye nayo

mchepuko ndio suluhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…