Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Nani alishamtoa mwenza wake wakaendabali kidogo huko hotelini mkajifungia huko mkawasha mshumaa mkaweka wine pembeni hoteli yenye hadhi ya five star au hata middle class mkakaa huku siku moja au mbili aisehhhhhh hata kama penzi lilikufa miaka mitano nyuma pale litachipua na uganzi utapotea, mkifika huko mnakulanaa yani mnakesha kwa kifupi, mkichoka kuwa na big screen tv humo mnaangalia movie mpo watupu kama mlivyozaliwa, kwa ufupi penda kitu Mungu amekupa mpaka mmefika kanisani mkawachangishwa watu na harusi mkafunga iweje hakua katoka kwa Mungu, wanaume tuwe wabunifu maisha mafupi sana kuwa na stress za kipuzi, kula chombo Mungu kakupa kula vizuri mpaka udenda ukutoke