lindunduru
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 392
- 553
Hivi nani anatoa utamu kwa mwenziye?Zinaeleweka ndiyo..sasa kama mume kichomi maudhi kila uchwao..mnategemea sisi tunaotoa utamu tunajisikiaje labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nani anatoa utamu kwa mwenziye?Zinaeleweka ndiyo..sasa kama mume kichomi maudhi kila uchwao..mnategemea sisi tunaotoa utamu tunajisikiaje labda
Anataka kubembelezwa jamani, mvute mikononi mwako mkiss, kisha mwambie unampenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domo litarudi kwenye size yakeHayo yote umfanyie mtu alievuta domo mpaka ukiwa unaingia ndani unakutana nalo getini,tena kwa saabu ya kifala tu,ukute una wiki na zaidi unajitahidi muongee.Ila wanawake wengine sometimes wanakuaga kama vitoto aisee
Hakuna kitu Cha namna hiyo kadada tusidanganyane hapa, hakuna mtu wa kutoka tu huko afikie kumvamia mtu mkewe hakuna kitu kama hicho na mapenzi ya namna hiyo hayapo.
Unataka kunambia kabla ya huo mgomo kila siku jamaa alikuwa anakuja nakuchomeka tu hadi mwanamke kafikia hatua ya kugoma??
Acheni kutaka kutumia miili yenu Kama silaha ya kutaka kumchapa mtu kihisia.
Mke Kama kaamua kugoma maana yake kwamba kadhamiria kufanye hivyo kwa akili zake timamu.
Kwanini umnyime, ok kakuudhi sawa sasa unadhani kumyima ndio suluhisho la tatizo kwa mumeo? Kama sio ujinga kumbe ni nini?
Kwanini usimueleze hicho alicho kuudhi ili muongee yaishe maisha yaendelee??
Yeye mbona hakukususia bado upo kwake na anakutunza kwa kila kitu Kama mke wake inamaana we ni malaika humkwazi hata kidogo au!!?
Kmmk [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16]Hili ni kwa upande wenu wafilipino.
Kwa waswahili kama sisi unatushaurije?
Basi potezea kabisa kuhusu unyumba,usimuombe Wala nini mapaka ajishtukiepesa ni majukumu yangu.yaani siwez acha wajibu wangu eti sababu yeye kaacha wake.Ila kubembeleza chiu wa halali kabisa kwangu ni kosa lilio category moja na usaliti.Anaweza nipoteza mazima au nika loose interest ya ngono kabisa na yeye aisee
Basi potezea kabisa kuhusu unyumba,usimuombe Wala nini mpaka ajishtukiepesa ni majukumu yangu.yaani siwez acha wajibu wangu eti sababu yeye kaacha wake.Ila kubembeleza chiu wa halali kabisa kwangu ni kosa lilio category moja na usaliti.Anaweza nipoteza mazima au nika loose interest ya ngono kabisa na yeye aisee
hahahha unazingua jamaaPanda mnazi kwa mkono mmoja.
Nimecheka kisenge man😁😁😁Hili ni kwa upande wenu wafilipino.
Kwa waswahili kama sisi unatushaurije?
Sasa nikiomba ukaninyima natakiwa ninyetuke mbele yako au😁??? Yani unaninyima unyumba ili iweje sasa unajua kabisa umeolewa kwa ajili ya kazi hio!Wanaume na michepuko😀
Kabisa kutakuwa na sababu tu:-
1.Labda alimuudhi(Sumu ya mapenzi ni maudhi)
2.Anaumwa (Anajisikia vibaya ,hana mzuka etc)
3.Yupo kwenye mshahara wa mwisho wa mwezi
Kama hakuna sababu kama hizo lazima arudi kwao akapumzike.