DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Natafuta michepuko yeye namuachia papuchi yake. Yeye simuombi tena mpaka atakapojirekebishaWanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.
Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, tena ukimuomba ni vita sio vita ya kitoto na ukimlazimisha sana utaona anapiga kelele kama vile anabakwa.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app