King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #61
Huyu jamaa amesingiziwa.haiwezekani mtu atumie jina lake halisi na namba alizosajili kumpigia mtu then amteke.huu ni uzushi mtupu
basi kukusaidia mkuu usimwamini sana kubenea,naye anatumiwaMkuu acha pumba mission ilikua kuua kabisa na aliyetaja namba ni ulimboka mwenyewe kama angekufa asingeitaja na hata wakipeleleza report ingekuja ya uongo coz mpelelezi wa kesi ndio huyohuyo muuaji.
Na huo ndio udhaifu alioamua kuuexploit Kubenea kwa kuwahadaa hawa kwa vipesa kidogo bila kujua wanahatarisha ajira zao. Wakijua kuwa Kubenea alikuwa anawatumia tu kwa kufanikisha maslahi yake watakosa sababu ya kumdhuru huyu Kubenea?
basi kukusaidia mkuu usimwamini sana kubenea,naye anatumiwa
Inamaana hawa tIGO wanatunza na daftari la kudumu la wapiga kura siku hizi?
unamaanisha wa format bongo zetu zifute memory?
hivi hoyo ulimboka ana faida gani kwa nchii hii . Lets say angekufa nchi ingepata hasara gani? Ok au sasa awe amepona je nchi itapata faida gani?????? Watanzania tuache mambo yasiyo na faida . Mimi naona ni bora wangemuulia mbali tu huyo ulimboka

Data zipi mkuu! Tiririka!
Duh!!!! ama kweli kwa data hizi nchi sasa yaweza kuwa na majasusi wa ukweli teh teh teh teh
basi kukusaidia mkuu usimwamini sana kubenea,naye anatumiwa
Kuna uwezekano Rama alitumia kitambulisho cha mpiga kura kwenye kusajili namba yake.