King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
- #61
Huyu jamaa amesingiziwa.haiwezekani mtu atumie jina lake halisi na namba alizosajili kumpigia mtu then amteke.huu ni uzushi mtupu
Mkuu acha pumba mission ilikua kuua kabisa na aliyetaja namba ni ulimboka mwenyewe kama angekufa asingeitaja na hata wakipeleleza report ingekuja ya uongo coz mpelelezi wa kesi ndio huyohuyo muuaji.