Kipigo cha mbwa mwizi Chaiondoa Kenya AFCON 2019

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Kutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma

#3 Kundi A.
DRC Pts:3 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts:3 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................

Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
 
DRC Pts: 4 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts: 4 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................

Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.

Kenya nao doro tu hatuchekani
 
Tz wamemaliza Afcon na points ngapi?

Wewe Hufai kuongea na chuki yako ya Kenya inaonekana. Funga bakuli lako, enda ukakojoe na ulale
 
Kutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma

#3 Kundi A.
DRC Pts:3 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts:3 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................

Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
Zikitoa sare kenya katoka...

Zinatakiwa zifungwe mzee baba.
 
Bado,wanasubiri matokeo ya kesho. Waombe Mungu Benin na Angola wafungwe.
Cameroon na Mali kimahesabu washafuzu, sidhani kama watacheza mecha ya kutoana jasho wakati wanajua wana kibarua mbele. Point 4 walizonazo zinawavusha hata kama wakifungwa
 
Sengal 2 tanzania 0
Kenya 3 tanzania 2
Algeria 3 tanzania 0

Mbona mandugu zangu mwapenda kuongea sana? Hata kushinda game moja hamkuweza? Na mko hapa mkiropoka ropoka kama ma frao hio si show. spencer mzee74 Meljons
 
All that Kenya needs is Mali to win or draw against Angola and Cameroon to win or draw against Benin and then we are free.
Harambee needs both Mali and Cameroon to win....vinginevyo inatoka.
 
Mali is Number one in their group while Angola is third with 2 points... If Mali wins or draws then Kenya proceeds. The same with Cameroon and Benin.
 
Back
Top Bottom