Kutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma
#3 Kundi A.
DRC Pts: 4 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts: 4 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................
Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
Kutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma
#3 Kundi A.
DRC Pts:3 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts:3 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................
Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
Wewe Hufai kuongea na chuki yako ya Kenya inaonekana. Funga bakuli lako, enda ukakojoe na ulaleKutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma
#3 Kundi A.
DRC Pts:3 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts:3 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................
Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
Zikitoa sare kenya katoka...Kutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma
#3 Kundi A.
DRC Pts:3 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts:3 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................
Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
Aombee...Cameroon atamfunga Benin kwa ninavyoona.Yaani kwa jinsi mziki ulivokaa, iko Tenge kweli Kenya Kupenya
Cameroon na Mali kimahesabu washafuzu, sidhani kama watacheza mecha ya kutoana jasho wakati wanajua wana kibarua mbele. Point 4 walizonazo zinawavusha hata kama wakifungwaBado,wanasubiri matokeo ya kesho. Waombe Mungu Benin na Angola wafungwe.
Harambee needs both Mali and Cameroon to win....vinginevyo inatoka.All that Kenya needs is Mali to win or draw against Angola and Cameroon to win or draw against Benin and then we are free.
Harambee needs both Mali and Cameroon to win....vinginevyo inatoka.
Wapuuzi mliongea sana, leo mmepapaswa na Senegal *****