Kipigo Cha mwenezi wa CHADEMA Bi Sagrada ,kinanipa maswali ya kujiuliza juu ya utitiri wa wanaCHADEMA wanaopotea Kila siku

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,311
Reaction score
4,689
Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!

Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake !! John Heche alikuwepo eneo la tukio na mlinzi wake ndie kamkung'uta haswaa bibie sagrada lakini ni kana kwamba Hilo ni tukio la kawaida !!

Ni kosa gani kubwa sana ambalo Bi Sagrada kupelekea kuadhibiwa vikali namna hiyo? Bi Sagrada ameponea chupuchupu kupoteza maisha kufuatia mateke ya tumbo na ngumi pamoja na vichwa alivyopokea kutoka kwa mlinzi !!

Wanasema mlinzi amekimnbia na haijulikani Yuko wapi !! Kwanini alikimbia ? Ni kwa sababu alihisi ameshauwa !! Kauli ya Heche ni nyepesi sana juu ya Sagrada! Hiyo inaonyesha kulikuwa na mawasiliano na mhalifu wa tukio hili !!

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Kama CHADEMA mnapigana hadharani na kutaka kuuwana Hawa wengine wanaopotea tutaaminije kama wanatekwa? Ikiwa mtu kutoa mawazo Hasi anakung'utwa kwa kiwango kile vipi wanaowapinga na pengine kuwa na hisia tofauti huwa mnawafanyaje ??

Bi Sagrada amenifanya nifikirie sana usalama kwa wanachama wa CHADEMA ikiwa watakuwa na mawazo tofauti na uongozi !! Ninamashaka makubwa na CHADEMA !!
 
Wewe ni
IMG_0946.jpeg
 
Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa chadema na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !! Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake !! John heche alikuwepo eneo la tukio na mlinzi wake ndie kamkung'uta haswaa bibie sagrada lakini ni kana kwamba Hilo ni tukio la kawaida !! Ni kosa gani kubwa sana ambalo bi sagrada kupelekea kuadhibiwa vikali namna hiyo? Bi sagrada ameponea chupuchupu kupoteza maisha kufuatia mateke ya tumbo na ngumi pamoja na vichwa alivyopokea kutoka kwa mlinzi wa John heche !! Wanasema mlinzi amekimnbia na haijulikani Yuko wapi !! Kwanini alikimbia ? Ni kwa sababu alihisi ameshauwa !! Kauli ya heche ni nyepesi sana juu ya sagrada! Hiyo inaonyesha kulikuwa na mawasiliano na mhalifu wa tukio hili !! Kama chadema mnapigana hadharani na kutaka kuuwana Hawa wengine wanaopotea tutaaminije kama wanatekwa na ccm? Ikiwa mtu kutoa mawazo Hasi anakung'utwa kwa kiwango kile vipi wanaowapinga na pengine kuwa na hisia tofauti huwa mnawafanyaje ?? Bi sagrada amenifanya nifikirie sana usalama kwa wanachama wa chadema ikiwa watakuwa na mawazo tofauti na uongozi ni hatari kwa maisha yao !! Ninamashaka makubwa na chadema !!

Weka hata space basi
Maandishi kama sisimizi wanakula chakula?

Unashindwa hata kuweka paragraph hoja yako ikasomeka vizuri?

Nyie ndio wa kwenda veta
 
Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!

Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake !! John Heche alikuwepo eneo la tukio na mlinzi wake ndie kamkung'uta haswaa bibie sagrada lakini ni kana kwamba Hilo ni tukio la kawaida !!

Ni kosa gani kubwa sana ambalo Bi Sagrada kupelekea kuadhibiwa vikali namna hiyo? Bi Sagrada ameponea chupuchupu kupoteza maisha kufuatia mateke ya tumbo na ngumi pamoja na vichwa alivyopokea kutoka kwa mlinzi !!

Wanasema mlinzi amekimnbia na haijulikani Yuko wapi !! Kwanini alikimbia ? Ni kwa sababu alihisi ameshauwa !! Kauli ya Heche ni nyepesi sana juu ya Sagrada! Hiyo inaonyesha kulikuwa na mawasiliano na mhalifu wa tukio hili !!

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Kama CHADEMA mnapigana hadharani na kutaka kuuwana Hawa wengine wanaopotea tutaaminije kama wanatekwa? Ikiwa mtu kutoa mawazo Hasi anakung'utwa kwa kiwango kile vipi wanaowapinga na pengine kuwa na hisia tofauti huwa mnawafanyaje ??

Bi Sagrada amenifanya nifikirie sana usalama kwa wanachama wa CHADEMA ikiwa watakuwa na mawazo tofauti na uongozi !! Ninamashaka makubwa na CHADEMA !!
Tusaidie kukuelewa vizuri. Wewe umeandika ulichoshuhudia kwa macho yako au ulichosikia kutoka kwa watu wengine?
 
Chadema ni kundi la wahuni waliwahi mteka yule mwanamke aliyezimia huku ana kula chips juu ya boda boda
 
Attachments

  • 20241020_081521.jpg
    20241020_081521.jpg
    31 KB · Views: 22
Labda huyo ni Mamluki wa Chama pendwa! Siyo kila aliyevaa nguo za Chadema ni mwanachama halisi wa Chadema! Haijalishi ni kiongozi wa Taifa au wa mkoa au wa kijiji.
 
Weka hata space basi
Maandishi kama sisimizi wanakula chakula?

Unashindwa hata kuweka paragraph hoja yako ikasomeka vizuri?

Nyie ndio wa kwenda veta
Kunguni huwa wanamng'ang'ania mtu mchafu
 
Labda huyo ni Mamluki wa Chama pendwa! Siyo kila aliyevaa nguo za Chadema ni mwanachama halisi wa Chadema! Haijalishi ni kiongozi wa Taifa au wa mkoa au wa kijiji.
Ndio akung'utwe kiasi hicho ? Mamluki huwa anapigwa?
 
Uzuri matako na wewe unayo kwa hiyo ungeyaondoa kwanza hayo kwako ndioo uone kama utakalia mikono
Bado hizi propaganda za kizee mnazitumia kwa kizazi hiki? Ripoti rais anayo kuhusu watu kutekwa na kuuwawa, kama hahusiki mwambie aiweke public kisha uje uendelee na propaganda outdated.
 
Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!

Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake !! John Heche alikuwepo eneo la tukio na mlinzi wake ndie kamkung'uta haswaa bibie sagrada lakini ni kana kwamba Hilo ni tukio la kawaida !!

Ni kosa gani kubwa sana ambalo Bi Sagrada kupelekea kuadhibiwa vikali namna hiyo? Bi Sagrada ameponea chupuchupu kupoteza maisha kufuatia mateke ya tumbo na ngumi pamoja na vichwa alivyopokea kutoka kwa mlinzi !!

Wanasema mlinzi amekimnbia na haijulikani Yuko wapi !! Kwanini alikimbia ? Ni kwa sababu alihisi ameshauwa !! Kauli ya Heche ni nyepesi sana juu ya Sagrada! Hiyo inaonyesha kulikuwa na mawasiliano na mhalifu wa tukio hili !!

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Kama CHADEMA mnapigana hadharani na kutaka kuuwana Hawa wengine wanaopotea tutaaminije kama wanatekwa? Ikiwa mtu kutoa mawazo Hasi anakung'utwa kwa kiwango kile vipi wanaowapinga na pengine kuwa na hisia tofauti huwa mnawafanyaje ??

Bi Sagrada amenifanya nifikirie sana usalama kwa wanachama wa CHADEMA ikiwa watakuwa na mawazo tofauti na uongozi !! Ninamashaka makubwa na CHADEMA !!
🚮🚮🚮
 
Kama wanaweza kukupa kesi feki ya ugaidi watashindwa kukupa kesi ya mauaji wenye ushahidi nayo?
 
Back
Top Bottom