Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Hoja yake hujaijibu lakini!!Weka hata space basi
Maandishi kama sisimizi wanakula chakula?
Unashindwa hata kuweka paragraph hoja yako ikasomeka vizuri?
Nyie ndio wa kwenda veta

Mjibu basi hoja yake
Nasikia scene ya mapigano ilikuwa eneo ambalo CHADEMA walikuwa wanafanyia kikao chao cha ndani. Wewe ulikuwa mmoja wa washiriki wa hicho kikao cha ndani?Nilichoshuhudia kwa macho yangu
Lakini ni tukio limetokea kweli na mhusika anatafutwa!! Walau mngejibu hili ambalo mna uwezo nalo kama CDM kabla ya kurukia kwa akina Samia.Bado hizi propaganda za kizee mnazitumia kwa kizazi hiki? Ripoti rais anayo kuhusu watu kutekwa na kuuwawa, kama hahusiki mwambie aiweke public kisha uje uendelee na propaganda outdated.
Hoja yake hujaijibu lakini!!
Ulichoandika kuanzia aya ya 4 mpaka aya ya mwisho ni kitu ambacho mtu ambaye alikuwa mjumbe wa hicho kikao cha ndani angeweza kuandika?Ndio
Wewe ni kipofu ? Mbona vitu vingi tu vimebanana na huwa unatafuta mpenyo?
Kwa ulichoandika ni wazi umesomaMaandishi yamebanana vile nasomaje?
Samia anaogopa uchaguzi hata ndani ya chama chake. Tume iwe huru sasa.Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!
Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake !! John Heche alikuwepo eneo la tukio na mlinzi wake ndie kamkung'uta haswaa bibie sagrada lakini ni kana kwamba Hilo ni tukio la kawaida !!
Ni kosa gani kubwa sana ambalo Bi Sagrada kupelekea kuadhibiwa vikali namna hiyo? Bi Sagrada ameponea chupuchupu kupoteza maisha kufuatia mateke ya tumbo na ngumi pamoja na vichwa alivyopokea kutoka kwa mlinzi !!
Wanasema mlinzi amekimnbia na haijulikani Yuko wapi !! Kwanini alikimbia ? Ni kwa sababu alihisi ameshauwa !! Kauli ya Heche ni nyepesi sana juu ya Sagrada! Hiyo inaonyesha kulikuwa na mawasiliano na mhalifu wa tukio hili !!
Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Kama CHADEMA mnapigana hadharani na kutaka kuuwana Hawa wengine wanaopotea tutaaminije kama wanatekwa? Ikiwa mtu kutoa mawazo Hasi anakung'utwa kwa kiwango kile vipi wanaowapinga na pengine kuwa na hisia tofauti huwa mnawafanyaje ??
Bi Sagrada amenifanya nifikirie sana usalama kwa wanachama wa CHADEMA ikiwa watakuwa na mawazo tofauti na uongozi !! Ninamashaka makubwa na CHADEMA !!
Viongozi wako wanatembeza fimbo hadharani kwenye kugombea nafasi za uongozi na husemi kitu.Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!