Kipigo Cha mwenezi wa CHADEMA Bi Sagrada ,kinanipa maswali ya kujiuliza juu ya utitiri wa wanaCHADEMA wanaopotea Kila siku

Samia anaogopa uchaguzi hata ndani ya chama chake. Tume iwe huru sasa.
Hapana hata wasimamizi wa uchaguzi nchi wawe bawacha bado samia atashinda kwa kishindo
 
Labda huyo ni Mamluki wa Chama pendwa! Siyo kila aliyevaa nguo za Chadema ni mwanachama halisi wa Chadema! Haijalishi ni kiongozi wa Taifa au wa mkoa au wa kijiji.
Kwa hiyo ukiona mamluki unaua?

Au ndio mnaanza kutangaza vita?
 
Porojo hii imeshindwa kupata kiki watu wapo bize na No reforms no election
Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!

Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake !! John Heche alikuwepo eneo la tukio na mlinzi wake ndie kamkung'uta haswaa bibie sagrada lakini ni kana kwamba Hilo ni tukio la kawaida !!

Ni kosa gani kubwa sana ambalo Bi Sagrada kupelekea kuadhibiwa vikali namna hiyo? Bi Sagrada ameponea chupuchupu kupoteza maisha kufuatia mateke ya tumbo na ngumi pamoja na vichwa alivyopokea kutoka kwa mlinzi !!

Wanasema mlinzi amekimnbia na haijulikani Yuko wapi !! Kwanini alikimbia ? Ni kwa sababu alihisi ameshauwa !! Kauli ya Heche ni nyepesi sana juu ya Sagrada! Hiyo inaonyesha kulikuwa na mawasiliano na mhalifu wa tukio hili !!

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Kama CHADEMA mnapigana hadharani na kutaka kuuwana Hawa wengine wanaopotea tutaaminije kama wanatekwa? Ikiwa mtu kutoa mawazo Hasi anakung'utwa kwa kiwango kile vipi wanaowapinga na pengine kuwa na hisia tofauti huwa mnawafanyaje ??

Bi Sagrada amenifanya nifikirie sana usalama kwa wanachama wa CHADEMA ikiwa watakuwa na mawazo tofauti na uongozi !! Ninamashaka makubwa na CHADEMA !!
 
View: https://x.com/swahilidigital_/status/1906104673334857946?t=3CG9sD1jJJASbQHgIUJAWA&s=19
 
huyu mama anaendeleaje? heche mtu katili sana
 
Back
Top Bottom