Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Picha hii imenihuzunisha sana. Wamefanya kosa gani hawa mpaka wastahili kipigo kama hiki cha kufa mtu?
View attachment 79503
Mkuu hajaonesha chuki yoyote kwani yote aloyasema ni ukweli mtupu.... Tuna polisi wengi kiasi gani wamlinde kila mtu???? Waache usharobaro cha kushangaza hata wanaume nao wanabakwa???? Jilindeni nyie na mali zenu.... Nina uhakika kama mkiamua kujilinda hakuna watakao wasumbua after all wanaokuja kuwaibia wengi ni mateja!!!! :glasses-nerdy:
itakuwa sio chuki vijana wengi ni lege lege... .ni ubwege kushindwa kujilinda wao wenyewe, ukizingatia hawajapata ushirikiano toka police....
Ww nawe! Chuki gani sasa kwa mchango wa jamaa!
BLUE: Jamani, suala la ulinzi ni letu wote. polisi hawawezi kutulinda sote ni jukumu letu kuhakikisha mazingira salama tunapoishi
nyie wanafunzi acheni ubishoo na usharobaro, hivi kweli hao vibaka wanawaingilia hadi hosteli na kuwaibia na kama haitoshi kuwabaka? haijawahi kutokea, kweli watoto wa kiume mnashindwa kupambana? eti mnataka ulinzi wa polisi, polisi atawalinda hadi billicanas? kwanza watoto wa kiume mnajichubua pia mnavaa mlegezeo(mnawatamanisha mkalio yenu) kwanini wasiwabake! pia HAMNA USHIRIKIANO NA WENYEJI MNAJIONA NYIE NDIO NYIE HATA SALAMU HAMNA, MNACHUKUA DADAZAO NA WAKE ZAO HALAFU WAKILIPIZA MNATAKA ULINZI WA POLISI( POLISI WANALINDA VIONGOZI WA NCHI NA TAASISI NYETI KAMA MABENKI SIO HOSTELI ZA WANAFUNZI). ushauri: BADILIKENI.
Mkuu hajaonesha chuki yoyote kwani yote aloyasema ni ukweli mtupu.... Tuna polisi wengi kiasi gani wamlinde kila mtu???? Waache usharobaro cha kushangaza hata wanaume nao wanabakwa???? Jilindeni nyie na mali zenu.... Nina uhakika kama mkiamua kujilinda hakuna watakao wasumbua after all wanaokuja kuwaibia wengi ni mateja!!!! :glasses-nerdy:
itakuwa sio chuki vijana wengi ni lege lege... .ni ubwege kushindwa kujilinda wao wenyewe, ukizingatia hawajapata ushirikiano toka police....
Ww nawe! Chuki gani sasa kwa mchango wa jamaa!
Acheni uchochezi. walipopigwa wialsm mlisherehekea. sasa hivi mnaumia. acheni unafikinimetazama kwa masikitiko jinsi watoto watanzania walioenda kulilia baba yao (serikali) awaepushe na janga la kubakwa walivyosurubishwa na dola. huu ndiyo uhalisia wa jeshi letu; ukienda polisi kutoa taarifa ya uharifu unakuwa mtuhumiwa wa kwanza, . mbaya zaidi Kova anaenda mbali kwa kuwataka wanafunzi wamsaidie yeye kuwalinda wananchi wa kigamboni ambao wanakila aina ya madhila ya wizi, ubakaji na vurugu za mitaani. inasikitisha sana.
Makosa yao ni:
1. Kuandamana bila kibali kutoka Polisi
2. Madai yao hayaingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu.
Picha hii imenihuzunisha sana. Wamefanya kosa gani hawa mpaka wastahili kipigo kama hiki cha kufa mtu?
View attachment 79503
Mwita Maranya, ndugu yangu hujanisoma ukanielewa.Katika hili siwezi kukubaliana na wewe hata ukinishawishi vipi. Polisi wamepatiwa mafunzo na wamekabidhiwa silaha za moto ili waweze kukabiliana na wahalifu na uhalifu wowote kwa kuzingatia kwamba huo ndio wajibu wao wa msingi kulinda raia na mali zao. Kazi yetu sisi tusio polisi ni kuwasaidia kwa kuwapa taarifa za uhalifu na wahalifu.
Wanafunzi wamekuwa wakitoa taarifa kituo cha polisi kigamboni juu ya uhalifu unaofanyika katika hosteli zao lakini polisi hawajawahi kuchukua hatua zozote na matokeo yake vitendo vya wizi na uhalifu vimeendelea kuongezeka. Hili la uzembe wa polisi halihitaji utetezi wa aina yoyote kwa kweli. Kwa mimi ambae nimewahi kuishi kigamboni ninafahamu jinsi polisi wananyoshirikiana na wahalifu na sikushangaa kusikia kwamba pamoja na OCD kupewa taarifa mara kwa mara hakuwahi kuchukua hatua hata mara moja. Isipokuwa kutumia nguvu nyingi kuwapiga vijana wasiokuwa na chochote mkononi zaidi ya simu zao za mkononi.
Hii ni aibu na kashfa nyingine kwa jeshi la polisi kwa kujikusanyia simu za wanafunzi na kujimilikisha.
Makosa yao ni:
1. Kuandamana bila kibali kutoka Polisi
2. Madai yao hayaingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu.
namna ulivyochangia kama una chuki nao!!!????
RED: (Kwa askari mnaowalipa 276,000/- basic salary (
.
Picha hii imenihuzunisha sana. Wamefanya kosa gani hawa mpaka wastahili kipigo kama hiki cha kufa mtu?
View attachment 79503
Nikiwatetea polisi mtasema kwa sababu mimi mtoto wa polisi.
I decide to :shut-mouth:
Acheni uchochezi. walipopigwa wialsm mlisherehekea. sasa hivi mnaumia. acheni unafiki
Mkuu hajaonesha chuki
yoyote kwani yote aloyasema ni ukweli mtupu.... Tuna polisi wengi kiasi
gani wamlinde kila mtu???? Waache usharobaro cha kushangaza hata wanaume
nao wanabakwa???? Jilindeni nyie na mali zenu.... Nina uhakika kama
mkiamua kujilinda hakuna watakao wasumbua after all wanaokuja kuwaibia
wengi ni mateja!!!! :glasses-nerdy:
yaaaaani ukisikia ujinga na upumbavu ndiyo huu, wanaume wazima wanabakwa. Halafu eti wanakuja hata hapa JF, eti hali ni mbaya tuna bakwa, wanaume wazima, hivi mno akili ya kuku nini nadhani hata kuku anawazidi akili maana yeye hupambana na mwewe asile watoto. Kama kuna mwenzenu kashikishwa ukuta,, Pigeni kimya kisha mnaanza mawindo ya adui zenu kimya kimya halafu mnatoa dozi (kichapo cha kueleweka) ya nguvu kwa hao wabakaji.
kisha muone kama watarudi, lkn kwa sasa nyie WA IFM mmeonesha kuwa nyie ni nyanya za ilula. Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuvaa suruali, tatizo lenu mnavaa kata k, angalie yamewakuta ya kuwakuta, acheni kulipigia kelele jeshi la polisi wana kazi nyingi zaidi ya kulinda hostel