mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Ukishapakwa wewe inatosha kabisa,Pdidy anakusubiria kule ukapakwe mafuta
Umetuwakilisha vizuri bwashee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishapakwa wewe inatosha kabisa,Pdidy anakusubiria kule ukapakwe mafuta
Tazama na hii jana, siku zaidi ya 360 (karibia mwaka) mazayuni na kujidai kwao kote na kusaidiwa na nguvu kubwa za kijeshi za marekani, Uingereza na NATO lakini ukweli ni huu, wanabamizwa, jionee mwe nyewe:
View: https://youtu.be/oEufpNMsXD8?si=attFx6IU8tWE1ale
Vijana wa Kipalestina ni moto wa kuotea mbali. Mazayuni wao wawaonee watoto wadogo, wanawake na wagonjwa mahospitalini tu.
Kwa hio wewe pdidy kashakupakaa mafuta?Ukishapakwa wewe inatosha kabisa,
Umetuwakilisha vizuri bwashee
Hujui kiswahili au hujui kusoma?Kwa hio wewe pdidy kashakupakaa mafuta?
Kwa hio ndio unapakwa mafuta muda huu na pdidy?Hujui kiswahili au hujui kusoma?
Ndio inavyokuwa, ukishindwa hoja unakimbilia kutusi, hata mimi naweza kutukana, tena kuliko wewe, sema nini, nakupuuzaKwa hio ndio unapakwa mafuta muda huu na pdidy?
Eroi nae ni nani?Kumbukumbu la Torati 10:17
Kwa maana BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, asiyependelea nyuso za watu, wala hakubali rushwa.
Allah ni Mungu kama miungu wengine, ila Mungu wa Allah ni JEHOVA
So Allah Hawezi kumshinda Boss wake kamwe. upo hapo bibi?
Wewe unatambia elimu ya madrassat.Tatizo lenu wengi wenu hamna elimu.
Mie nnauhakika hamfahamu hata mazayuni ni nani na Wayahudi ni nani. Hata doctrine zao hamzifaham, mpo too shallow.