mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Zile tambo za Zelensky kwamba hataki mazungumzo na Putin kwa kuwa atamshinda kwenye uwanja wa vita naona zimeishiwa pumzi. Kipigo anachokipata kila siku si cha kitoto. Bahasha ya makombora anayopewa ndani ya saa 24 hayapungui makombora 6,500!!
Kwa sasa Zelensky anaibembeleza China isaidie kumshawishi Putin kufikia suluhisho la amani. Source: Aljazeera.
Zelenskyy urges China’s Xi to help end Russia’s war in Ukraine
Ukraine’s President Volodymyr Zelenskyy has appealed for direct talks with China’s Xi Jinping as he urged Beijing to use its political and economic influence on Russia to help end the war in his country.
Ukiona hivyo ujue maji yameshazidi unga, ukitilia maanani jinsi Zelensky alivyokuwa akitamba huku akivimbishwa kichwa na nchi za Magharibi!!