Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Ukraine walichagua raisi boya sana, kila kitu anachukulia kuwa ni commedy. Nchi imeumizwa na itachukua miaka kibao kufikia ustawi waliokuwa nao kabla ya vita. Watalipa madeni ya silaha kwa miaka mia.Silaha kama HIMARS haiwezi kuwa jibu wala kuwa effective kwa taifa kama Russia.
Ukraine itaumia tu, Yaani Russia nchi ya kwanza duniani kufika mwezini, nchi ya kwanza kurusha satellite 1953 eti leo hii lori lililobeba vi mizinga liwe tishio kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushabiki na propaganda zingine hazina maaa.
Vv