Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Ukraine walichagua raisi boya sana, kila kitu anachukulia kuwa ni commedy. Nchi imeumizwa na itachukua miaka kibao kufikia ustawi waliokuwa nao kabla ya vita. Watalipa madeni ya silaha kwa miaka mia.Silaha kama HIMARS haiwezi kuwa jibu wala kuwa effective kwa taifa kama Russia.
Ukraine itaumia tu, Yaani Russia nchi ya kwanza duniani kufika mwezini, nchi ya kwanza kurusha satellite 1953 eti leo hii lori lililobeba vi mizinga liwe tishio kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushabiki na propaganda zingine hazina maaa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hawana Taasisi za kijasusi !? Mbona unachekeshanan alimvamia mwenzie ? je si alivizia ? maana alipotuhumiwa alisema anafanya mazoez , ss ulitaka Zelewinsky afanye nn kweny uvamiz wa kustukiza ?
Kama west wanavyomkula Russia taratibu [emoji12][emoji12]Usipanick bebe njoo tu tukukule tartiiiibu
No way..... zelensky alianza Kwa kutaka kujiunga na NATO hiyo ndiyo source kuu ya vita. Unataka urusi apakanenna NATO. No Way na Ndio maana baada ya Ukraine, anafata Poland.nan alimvamia mwenzie ? je si alivizia ? maana alipotuhumiwa alisema anafanya mazoez , ss ulitaka Zelewinsky afanye nn kweny uvamiz wa kustukiza ?
we jamaaPutin eeeh[emoji16]
Wee mpelekee moto