Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila midahalo uganga ni muhimu ili kupata kiongozi bora.
Kutoka Musa hadi wakati wa Eliya ilipita miaka mianne Mungubaba alikaa kimya,kumbuka uchaguzi ni kila baada ya miaka mitano,Musa wa Misahafu hakuwa na uwezo wa kujielezea. Mungu akampa Haruni. Uongozi ni uwezo wa kusimamia na kuwaunganisha wanao kusaidia kuifanyakazi hiyo kazi ya Uongozi ulioaminiwa. La muhimu usicheke na nyani tu.
Uongozi sio somo la fasihi mpaka kuwekewa kigezo cha debate clubs. Uongozi ni karama itokayo kwa Mungu wa Mbinguni. Kama hiyo hunayo utaishia kuambatana na waganga na walozi tu. Tuliona hilo awamu flani ya uongozi hapo nyuma.
Kutoka Musa hadi wakati wa Eliya ilipita miaka mianne Mungubaba alikaa kimya,kumbuka uchaguzi ni kila baada ya miaka mitano,
Kama uongozi ni Karama, kile kigezo cha rais awe wangalau na degree ni cha nini? Hofu imekupata kwenye hili maana ccm chama cha majizi ya kura, unajua kitakuwa kwenye wakati mgumu. Mtu anataka kazi lakini hataki usaili?!