Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

Nakubali
 
Ukiwa na MBA na CPA (T) halafu huna gari unafitiwa vyeti...hongera Mkuu
 
Umasikinj mbaya sana.. Stress za Kushindwa kujenga umeanza liganisha Nyumba na gari tena ya 7M .. Ujinga Mbaya sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwakweli gari lina raha yake ya nini kuteseka maisha yenyewe mafupi. Ukijimlisha na Corona
 
Siasa ni gari na gari ni siasa
Umasikinj mbaya sana.. Stress za Kushindwa kujenga umeanza liganisha Nyumba na gari tena ya 7M .. Ujinga Mbaya sana.
Mkuu, pambana upate gari au nenda kajenge fukayosi huko maana najua na naamini huwezi kununua kiwanja posta au upanga kule we subiri viwanja vya kata
 
Nenda na nyumba yako unfinished kwa wakwe ndo utajua kama wewe ni pombe kwa kiasi gani, ila simamisha mkwaju pale hata kama ni kama ni demio namba TzB uone shangwe zake
Wanakijiji hawaheshimu nyumba,kwa vile hata wenyewe wanazo,na wanajua mwenye gari uwezo wa kujenga anao,hajataka tu.
 
Daaah, pole sana umeongea kwa masikitiko mkuu. Usafiri na Internet nadhani zatakiwa ziwekwe kwenye lile kundi la basic needs

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Picha tasavali.
 
Sasa unavyoona wewe hiyo ni akili?
 
Pambana, mange kimambi na lemutuz hawana nyumba ila wana magari tu, na wanaongoza kwa kuwa na furaha nadhani kuliko hata kiumbe chochote hapa duniani.
Kwa kuwaona hao watu wawili kama 'role model' nimefahamu u mtu wa aina gani.
Upuuzwe.
 
Kwa kuwaona hao watu wawili kama 'role model' nimefahamu u mtu wa aina gani.
Upuuzwe.
Subiri kuilaumu serikali na kuhesabu Tanzia ,
Sibishani na mtu yeyote asiyesoma shule vipaji maalumu, yan kiufupi mimi sio level yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…