kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
- Thread starter
- #81
Mkuu gari inaogopwa kuliko nyumba, hamna uchawi pale, ni mambo ya hela tu, nyumba hata ya matope unajenga kwa laki tano tu fukayosi hukoulitaka jua wa TZ tuna roho mbaya fatilia makazini yaani mtu yuko radhi akuharibie kisa ameona unaanza ona mwanga wa maisha.