Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo umejua Leo. Pale Hamna kitu ukimtoa Charles William wengine wote ni mbungila mbungila wanatangaza Ujinga.Hivi wakuu mnaosikiliza Wasafi FM asubuhi mnawaelewa kweli? Kuna kitu kipya mnagain pale? Wale jamaa muda wote ni kuchekacheka tu, kubishana, kupandiana wakati wa kuongea kiasi hakuna maelewano! Kila mtu mjuaji pale.
Mkuu kama hauwaelewi zima tu redio.Hivi wakuu mnaosikiliza Wasafi FM asubuhi mnawaelewa kweli? Kuna kitu kipya mnagain pale? Wale jamaa muda wote ni kuchekacheka tu, kubishana, kupandiana wakati wa kuongea kiasi hakuna maelewano! Kila mtu mjuaji pale.
hii ni kweli kabisaHivi wakuu mnaosikiliza Wasafi FM asubuhi mnawaelewa kweli? Kuna kitu kipya mnagain pale? Wale jamaa muda wote ni kuchekacheka tu, kubishana, kupandiana wakati wa kuongea kiasi hakuna maelewano! Kila mtu mjuaji pale.
Huwez kuwa na lengo la kujifunza Kwa kusikiliza redio kama wasafi. You cant be seriousHivi wakuu mnaosikiliza Wasafi FM asubuhi mnawaelewa kweli? Kuna kitu kipya mnagain pale? Wale jamaa muda wote ni kuchekacheka tu, kubishana, kupandiana wakati wa kuongea kiasi hakuna maelewano! Kila mtu mjuaji pale.
Ndivyo ilivyo wale wametarget vijana zaidiMaudhui ya radio mara nyingi yanendana na wasikilizaji ,itakua wamefanya research wakajua wasikilizaji wao wanapenda habari nyepesi.
Labda vijana wa uswahilini, walamba lipsi na baadhi ya bodaboda.Ndivyo ilivyo wale wametarget vijana zaidi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uzoefu pekee nilionao ni wa kujua Wewe unatoa / unachomoa Mimba zako kila mara ili uendelee Kumegwa.
WATANZANIA ASILIMIA KUBWA WANAPENDA MAKELELE,UDAKU,MANENOMANENOREDIO NI NYINGI MKUU, CHA AJABU REDIO YENYE MAKELELE NDO INAONGOZWA KWA KUSIKILIZWA SIO MITAANI, KWENYE MADALADALA, MA SALOON,MASOKONI N. K
Ungeweka clip kidogo hapaHivi wakuu mnaosikiliza Wasafi FM asubuhi mnawaelewa kweli? Kuna kitu kipya mnagain pale? Wale jamaa muda wote ni kuchekacheka tu, kubishana, kupandiana wakati wa kuongea kiasi hakuna maelewano! Kila mtu mjuaji pale.
Kwan mkuu comment ya jamaa Ina shida gani? Maana umemjibu ndivyo sivyoUzoefu pekee nilionao ni wa kujua Wewe unatoa / unachomoa Mimba zako kila mara ili uendelee Kumegwa.
Ila ndio inawasikilizaji wengiLabda vijana wa uswahilini, walamba lipsi na baadhi ya bodaboda.