wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hivi wakuu mnaosikiliza Wasafi FM asubuhi mnawaelewa kweli? Kuna kitu kipya mnagain pale? Wale jamaa muda wote ni kuchekacheka tu, kubishana, kupandiana wakati wa kuongea kiasi hakuna maelewano! Kila mtu mjuaji pale.
Sisi tunaoishi huku ibinu miono hiyo station haishiki kwani hao wapiga kelele hawana majina angalau tujue hata kwa kuwaona mtandaoni?