Kipindi cha Hayati Magufuli siasa zilikatazwa kabisa za upinzani na ukiwa mpinzani ulikuwa unashughulikiwa kwelikweli ila watu wamesahau

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku.

Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua hakuna mbadala wa ajira hiyo as a result akaongeza mrundikano wa wahitimu myaani hence unemployment rate kukua.

Thanks to mama kwa king'arisha Tanzania.

Michezo ni ajira na mama ameiprimote kwelikweli mpaka tanzania imekuwa kimbilio la michezo hasa mpira ila wapumbavu wanaona mama kutoa mil 700 eti angetoa kwa watu waliokufa tayari.

Mama atawahenyesha kwelikweli mana ni political scientIst.
 
Kipindi kile ni sawa na ugonjwa wa kipindupindu au Malaria kali.
Sasa hivi ni sawa na ugonjwa wa Kisukari au Figo.
We huoni nchi ilivyoshine sasa hivi. Kama unajua kinishughulisha siku hizi kila biashara inakubali na pesa zipo nje nje. Kipindi kile hali ngumu kila kona hakuna pa kutokea.
 
Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku....
Political scientific anayetegemea mbinu za Magufuli kushinda uchaguzi! Umelewa nini boss?
 
Mbinu gani. Sasa hivi vyama vya siasa viko huru mpaka kutukana. Ingekuwa kipinde kile cha jpm, mdude wa chadema angeshapotezwa kwa kuawa kama alivyofanywa ben saa nane
 
Uhuru wa hadaa, ukweli umejionyesha kwenye uchaguzi huu wa kishenzi wa SM. Hata sasa akina Soka, na wenzake hawafahiki waliko, na Ali Kibao ameuwawa na hakuna ripori yoyote. Tofauto kubwa ya Magufuli na huyu ni mmoka kuanika uovu wake hadharani, huyu anakuja kwa kificho, lakini tofauti ya uovu wao ni ndogo. Yaani kwa maneno marahisi huyu mama ni laghai anayejifanya mwema.
 
Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku.

Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua hakuna mbadala wa ajira hiyo as a result akaongeza mrundikano wa wahitimu myaani hence unemployment rate kukua.

Thanks to mama kwa king'arisha Tanzania.

Michezo ni ajira na mama ameiprimote kwelikweli mpaka tanzania imekuwa kimbilio la michezo hasa mpira ila wapumbavu wanaona mama kutoa mil 700 eti angetoa kwa watu waliokufa tayari.

Mama atawahenyesha kwelikweli mana ni political scientIst.
Hata hivyo tulipata SGR tunatumia masaa 3 tu kufika Dodoma
 
Mama ndo kajenga siyo jpm. Mama alikuwa na uwezo wa kuitelekeza angekuwa anapenda sifa kama jpm alivyottelekeza mradi wa bandari ya bagamoyo kisa ni wa jk.
 
Bwashee tafuta Cheti halali

Hicho Cheti Feki mchungaji Msigwa atateuliwa wewe uko unalia lia na kaburi 🤣
 
Hakuna mwenye cheti feki tz. Ilikuwa ni mbinu za jpm kuwaengua chadema ili kuwatisha wengine. Ccm ikaonekana inapendwa kumbe ni vitisho tu
 
Back
Top Bottom