Kipindi Cha Mshike Mshike cha Azam ni cha ovyo Sana

Kipindi Cha Mshike Mshike cha Azam ni cha ovyo Sana

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Kipindi kinachorushwa na Azam sports 1 cha Mshike Mshike ni kipindi cha ovyo sijapata kuona, habari zake ni za kuunga unga huwezi kuelewa, graphics mbovu, mtangazaji hana mvuto shida tu.
 
Kipindi kinachorushwa na Azam sports 1 cha Mshike Mshike ni kipindi cha hovyo sijapata kuona, habari zake ni za kuunga unga huwezi kuelewa, graphics mbovu, mtangazaji hana mvuto shida tu.
Mvuto gani unaotaka wewe?
 
Ingependeza kama ungekuwa Unashauri nini kifanyike badala ya kulalamika ama kuponda.

Ungepropose kitu gani kifanyike.....

Kwa kutoa maoni.
Ushauri na.
Mapendekezo.
 
Kimsingi kile ni kipindi Cha taarifa za michezo na si uchambuzi ndio maana unaona hakifai
Ukiangalia kwa angle ya uchambuzi wa michezo lazima utaona hakifai
 
Back
Top Bottom