Kipindi cha mvua wanawake mtuonee huruma jamani

Kipindi cha mvua wanawake mtuonee huruma jamani

Hv mnafeli wapi wakuu saiv Kuna container jipya la graduate limeingia mtaani mmeshindwa kupata? tena hayataki hata porojo za future ni krutrombranra tu na umpe vihela vya bando na lotion, bas ukishindwa Kuna first year kibao, single mamaz uamue ww tu, mashangazi wapo kibao ni ww na Hela na nguvu za kumkaza tu, makazini huko wanawake kibao bado Kuna hayawani analalamika upwiru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna.
 
hapa patamu mbona😋
We nae naona kama sio mjanja, mi nlivoingia mwaka wa kwanza sikua mnyamwezi sana sina naojuana nao kivle zaidi ya wahuni wangu wa uboyzn na jkt, ila mwaka wa pili nlikuwa nawafanyia graphics ile students organization ikawa kile kipindi cha kuwapokea madogo wa march intake na September intake zote nikawa nahusika na usajili aisee first year ni ww na 🍆Yako tu
 
Mwanamke ukimuonyesha unaitaka nyapu yake sana anakupuuza na kukutesea nayo.. wewe cha kufanya kama ulisha mwambia unataka uinyandue akakaza mpotezee achana nae kabisa wala usimkumbushie isuse kwa muda wa week moja na kila akitaka umnyandue mwambie haujisikii kufanya hivyo.

Zingatia kuwa busy hatakama haupo busy yani nyumbani rudi usiku na usiwe na story nae zozote zile zaidi ya kuacha huduma kama kawaida. Mkazie haswa lazima atanyooka tuu, siku akitaka kukupa mwambie mkachek afya kwanza.
Ngumu sana kutengewa ukakataa, sijui ni wangapi wanaweza.
 
Ukifanya ubabe mkuu hio itakuwa ni ubakaji na hauta enjoy...

Cha msingi ni kwenda na biti tu kama mdau alivyo shauri..

Muoneshe kila aina ya Upendo ila usile mzigo, na siku akitaka na wewe mwambie hujisikii... Tena ikiwezekana mwambie mkapime maana yawezekana alipelekewa moto nje
hv unawajua wanawake kweli fanya uone kitachotoke,,, we mdau ulieshauliwa tumia mbinu hiyo hiyo kata makofi alaf ondok hata siku mbili,,ukisema umpetipt kuna jamaa pengine linakula we kaz yako itakuwa kujinunisha na kutoa huduma tena we jomba ungekutana na mke wa mm ungependa,,we ungetoa huduma tu urud usiku usirud ungejua ww hata mwaka ungepita hakushobokei ndio kwanza, angekujibu sin hisia na ww nakuona kama nini sijui, ila hapa alinyoka, nikiona anakataa ni kumtia biti afu huyo na move on siku tatu hanion nikirud na mwambia rudia tena safar hy narud na mwanamke mwngne nakuja mkazia hphp nitaomba unipshe nitakw sina hela ya gest mana hujui wajibu ngja upgw filidi
 
Juzi kati hapo .. usiku mnene mida ya saa nane kamvua kalikua kamenyesha kalivo kata nasikia kelele kwa jirani wanapigana vitasa nikaona zile kelele zimezidi nikaamka nikaenda gonga mlango kumbe na majirani wengine walisikia kelele zile walipo sikia naita jina la jirani kwa nguvu wakasogea nao ndo kuuliza nyie vip usiku huu mikelele kama hii tatizo nn [emoji1787][emoji1787]mwanaume alikua kachoka na tabia ya mkewe kumnyima unyumba jamaa akalalamika sana pale bila aibu sheneji tunamwita nje aje kagoma kwa aibu ya mmewe kutoa kashfa za kunyimwa uchi.Ila sio siri wanaume haya majumba yanatufichia siri nyingi sana maana jamaa aliongea kwa uchungu na aliona aongee labda moyo utatulia .
 
Back
Top Bottom