Hata usalama.wa taifa alianiri wasukuma tu. Mfano ni jamaa anaitwa Florian nzangizyo
Hajakosea kafanya kwa kukusudia, kapatia kufanya alichoagizwa ndio maana namuuliza anatumwa na nani?Hoja ni nzuri sema kakosea kumuongelea Magufuli.
Katika utafiti wangu mdogo, nimebaini kwamba Walimu ambao wamekumbwa na tatizo kubwa zaidi la ukosefu wa ajira ni wale ambao waliosomea Masomo ya Sanaa (Arts). Wale waliosomea Masomo ya Sayansi na wamefaulu vizuri katika masomo yao, tatizo hili la ukosefu wa ajira linaonekana kuwa siyo kubwa sana kwao.
Wito: Someni Masomo ya Sayansi, kwani yana uwanja mpana wa kujiajiri au kuajiriwa, hata nje ya mipaka ya Tanzania.
Watu wajinga tu ndio wanasema JPM alikuwa rais fekiUnamtetea jiwe rais wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania, jiwe alikuwa ni WA ovyo na mbaguzi, , alifukuza wafanyakazi hewa na vyeti feki lakini hakufanya replacement , akaajiri watu wa kabila lake , wasukuma wote ambao nimesoma nao, na niliokutana nao katika harakati za kusaka ajira walipata kazi, Mungu ni wa wote akafanya yake.
UDOM ilikuwepo?
JK kabla hayatoka madarakani alisema kuwa kuanzia Mwaka ujao ajira hazitokuwepo kama Sasa ikiwemo Ualimu kwa hiyo mtu asiwadanganye, nakumbuka ilikua Mwaka 2014.
Unapaswa kuwa issue ya ajiri inaendana na ukuaji wa uchumi!
Ajira hazitolewi tu kufurahisha watu au kutotolewa tu kwa makusudi!
Serikali iko makini sana kwenye kuongeza wage bill!
JPM kama binadamu mwingine yoyote yule, ana mazuri yake lakini pia ana mabaya yake, ingawaje mabaya yake ni mengi zaidi kuliko mazuri yake.Watu wajinga tu ndio wanasema JPM alikuwa rais feki
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unataka hii nchi tuwe maskini milele na milele? Tukitaka kujikwamua from wakulima to wafanyakazi inakukera sana kwa sababu unapenda umaskini tu!!Ulibanwa ukiwa unafanya nini? Kwasababu mmlikuwa kimya ghafla tu, boss wenu kapita kule Chato na ninyi mmeanza kumtemea mate marehemu.
Ninyi viumbe mnaroho gani? Hamridhiki tu na ukwasi mnaoupata kwa gharama za watanzania maskini?
Kwanini hampendi maskini wawe na amani hata kidogo?
Chama Cha Mapinduzi kimehama kutoka kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi kuwa chama cha 'wafanyabiashara' na 'wezi' lini chama hiki kitarudi katika dhumuni la kumuinua mkulima na mfanyakazi wa taifa hili?
Kwenu ninyi utaifa na maendeleo ni kuwapo kwa uhuru wa kukwapua na mifuko yenu kujawa maburungutu ya wizi?
Baada ya kukwapua na kushindwa kuendesha nchi mnaanza kumlaumu marehemu kwa kushindwa kwenu kutumia vyema hata pato lenu dogo mnalokusanya ndani.
Wewe ni mfano hai kabisa wa wasomi wa kitanzania.Soma title yangu vizuri. Nimesema during the kikwete regime no any teacher was left with no employed despite arts or science.
Binafsi namshukuru jk kwa kuwa kipindi kile niliweaza kupata ajira ilihali ni mtoto wa kimaskini tu,siku hizi ili uajiriwe ni lazima uwajue watuJK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.
Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Sasa mkuu Kama JK alifanya yote haya kwanini watu hawakumpa maua yake? Wakaishia kumtukana matusi na kumdhalilisha kwa maneno ya kejeli.Uchumi feki nchi ikijengeka kila kona,nagari ikawa kawida kwa watanzania, GDP ikapaa,wakulima wakaishi maisha mazuri,miundombinu ikajengwa,fdi ikamiminika...acha ujinga babu
Huwezi pendwa na wote. Sisi tuliomaliza enzi zake ndo tunamjua. Waliokuwa wanamtukana ni vijana wa juzi tu hawamjui vizuri.Sasa mkuu Kama JK alifanya yote haya kwanini watu hawakumpa maua yake? Wakaishia kumtukana matusi na kumdhalilisha kwa maneno ya kejeli.
Kwahiyo huyo msukuma mmoja ndio sample ya ukabila?Rafiki yangu ni mchaga alipata ajira 2019Hata usalama.wa taifa alianiri wasukuma tu. Mfano ni jamaa anaitwa Florian nzangizyo
Kipindi cha nyerere walikuwa wanatafutwa miezi kabla ya kumaliza shule na wanapangiwa pa kwenda. Hizo nyakati za nyerere, mwinyi, mkapa, kikwete, na magufuli zimepita. Hiyo ilikuwa zamaniJK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.
Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Ni kweli miaka mitano ya jiwe hakukua na ajira?Lakini haiondoi ukweli kuwa jiwe katengeneza ombwe kubwa sana la ajira huwezi kukaa miaka mitano bila kuajili hali ya kuwa kila mwaka kuna maelfu ya watahiniwa wanamwagwa mitaani.
Na mbaya zaidi yeye kashashindwa kuajili bado akawa muharibifu wa sekta binafisi na zenyewe zikakosa uwezo wa kujiajili kweli wtz tulikuwa tume patikana.
Huyu mama ana kazi kubwa sana ya kuajili watainiwa wa kuanzia mwaka 2015 na wasasa hivi.
Dada zangu wawili walisomea udaktari toka mwaka 2017 wamekuja kuajiliwa mwaka jana duh jiwe alikuwa kiongozi wa hovyo sana.
Mipango tu mdogo wangu. Ukiwa na mipango poor lazima nchi ikushinde kama jpm ambaye jeshi lingempindua soonKipindi cha nyerere walikuwa wanatafutwa miezi kabla ya kumaliza shule na wanapangiwa pa kwenda. Hizo nyakati za nyerere, mwinyi, mkapa, kikwete, na magufuli zimepita. Hiyo ilikuwa zamani