Kipindi gani unakikumbuka kutoka Radio Free Africa (RFA) ya wakati huo

●Usiku wa mahaba
●Sintosahau
●Kuna show ya Fredwaa kuna dogo alikua anacheka sana kama jingle nimesahau
●Kulikua na show ya reggae
●Easy Sunday
●The weekend top 40 na kulikua kuna top 100

Hopefully sijachanganya madesa..... good not so old times when radio was a real deal
 
Legend🙌
 
Legend🙌
Hahahahaha....
Burudani yangu kubwa ilikua magazeti, radio na mieleka.... tamthilia na movie sio vitu vyangu kuna msimu napenda kuna msimu naona hazibambi

Isidingo ndo ilijua kuniteka, nayo nilivyoipata youtube nikawa sikamii, can stay miezi bila kuangalia halafu natenga weekend nakamia
 
Kabla ya zama za TikTok hazijatia miguu😂
 
Hiv kuna redio imewahi kufung minara n ikawa inasikika safi kma R.F.A Ya kipind hicho?
Kidogo radio one na Kiss fm... sababu nilipokua nlikua napenda sana lunch time ya radio one zile slow jams...

Plus Kissfm nlikua napenda ule umombo wao by then....

Nlivofika mjini daslam ndo kukutana na akia East Africa radio na wenzie
 
Back
Top Bottom