the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Uliza ujibiweWakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee
😂Ilikuwa siyo poaKilichokuwa kikileta story za Gamboshi
Ilikuwa 🔥Mpambano wa Wasanii kila JP
Legend🙌●Usiku wa mahaba
●Sintosahau
●Kuna show ya Fredwaa kuna dogo alikua anacheka sana kama jingle nimesahau
●Kulikua na show ya reggae
●Easy Sunday
●The weekend top 40 na kulikua kuna top 100
Hopefully sijachanganya madesa..... good not so old times when radio was a real deal
Hahahahaha....Legend🙌
Ewaa nlikua napenda sana hii... sikosiiiiiiJe huu ni uungwana? La hasha huu si uugwana.
La hasha huu si uungwana😂Je huu ni uungwana? La hasha huu si uugwana.
Mwamba🙌Sindano 5 za moto
Kabla ya zama za TikTok hazijatia miguu😂Hahahahaha....
Burudani yangu kubwa ilikua magazeti, radio na mieleka.... tamthilia na movie sio vitu vyangu kuna msimu napenda kuna msimu naona hazibambi
Isidingo ndo ilijua kuniteka, nayo nilivyoipata youtube nikawa sikamii, can stay miezi bila kuangalia halafu natenga weekend nakamia
Wale walikuwa siyo poa mzee wanguHiv kuna redio imewahi kufung minara n ikawa inasikika safi kma R.F.A Ya kipind hicho?
Kidogo radio one na Kiss fm... sababu nilipokua nlikua napenda sana lunch time ya radio one zile slow jams...Hiv kuna redio imewahi kufung minara n ikawa inasikika safi kma R.F.A Ya kipind hicho?