komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Wandugu. Msisahau na RTD yetu club raha leo na Marehemu Julius Nyaisanga. Japo Uzi ni kuhusu RFA. Hapo RFA lilikuwa na mwamba mmoja Zuberi Msabaha akijiita volts laki moja,, na kipindi chake cha miziki ya Zaire-DRC.Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi mnakumbuka? Au ulikuwa ukikipenda?
Acha kabisa mzee sema siku hzii mitandao na mabadiliko ya teknolojia imesababisha redio kukosa sokoNakumbuka Redio free tukiwa tunasikiliza kwa Panasokic double decker sauti iko clear sana. Mchana unakuwa unakunjua Areal( Elia) jioni na usiku kinawakaaaa
Hahah ndio huyo huyo Laki Sita Volt Zuberi Msabaha.Wandugu. Msisahau na RTD yetu club raha leo na Marehemu Julius Nyaisanga. Japo Uzi ni kuhusu RFA. Hapo RFA lilikuwa na mwamba mmoja Zuberi Msabaha akijiita volts laki moja,, na kipindi chake cha miziki ya Zaire-DRC.
Uko sahihi zaidi yangu. Nimekumbuka alijiita volts laki sita.Hahah ndio huyo huyo Laki Sita Volt Zuberi Msabaha.
Anapiga kikongo kuliko wakongo wenydwe
HahahUko sahihi zaidi yangu. Nimekumbuka alijiita volts laki sita.
Duu jamani, sijui nitakumbuka siku moja nikiwepo nyumbani huwa saangapi! 😀😀😀Kipo, kuna siku nilikisikiliza kinaendeshwa na jamaa mmoja anajiita mlevi mwenye busara.
Sasa hivi hakuna mtu anayesikiliza hicho kipindi zaidi a ya mtangazaji anakiendesha mwenyewe (anajisikiliza)
Bogus kweli kweli.
Kumbe mimi ni mzee sana aisee nitoke nyumbani sasa. Legend habari za mchana●Usiku wa mahaba
●Sintosahau
●Kuna show ya Fredwaa kuna dogo alikua anacheka sana kama jingle nimesahau
●Kulikua na show ya reggae
●Easy Sunday
●The weekend top 40 na kulikua kuna top 100
Hopefully sijachanganya madesa..... good not so old times when radio was a real deal
Baada ya kipindi cha Je Wajuaa!!Sitasahau wakati wa simulizi ya gamboshi nilikua siendi kanisani ili nisikilize
Bolingo time,Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi mnakumbuka? Au ulikuwa ukikipenda?
Hahahahaha usiogope..... wengine tumeanza sikiliza vitu toka tukiwa primary huko.... 35 yenyewe bado sana ingawa tayari 3rd floorKumbe mimi ni mzee sana aisee nitoke nyumbani sasa. Legend habari za mchana
Fred alikuwa fala sana 🤣Je huu ni uungwana? La hasha huu si uugwana.
Hizi ndio nyuzi unasoma unasikia raha na kukumbuka zamani.
Fred waaa kiukweli alikuwa mtu na nusu kipindi hicho nikiwa kwetu Morogoro hadi maza alimjua Fredwaa maana aliona kijana wake navodata.
Later pale Moro ikaja Radio Ukweli na Abood!
Nilipoishi Dodoma nikaifamu vizuri Kiss FM aisee kuna ngoma kali sana zilikuwa zinapigwa around saa moja hadi mbili ngoma kama Mbele kwa mbele Dj Yusuf daily.