Pale redio one Kila juma mosi jioni kulikuwa na Ngoma 20 Kali za bongo na Abdala Mwaypaya ABD, alikuwa anapenda kusemaa "ipi imetoka, ipi imepanda, ipi imeshuka, ipi imebaki pale pale". Sa sa hivi kipindi kimebadilishwa jina kinaitwa Bongo ten kinaendeshwa na mtangazaji wa capital radio Twali B.Ndio ndio mkuu ni tano za moto na zilikua moto si kitoto
R.I.P fredwaa pengo lako bado hawajaziba
RC ABD kazi njema huko uliko.