Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje?

umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job safarini wiki, yani utaondoka bado yuko hedhi kama wew unafanyaje?
 
Hizo siku 5 tu ndio ushindwe vumulia? Kichupa hicho ni cha mwaka ama? Ukiwa na mke unagonga mara kwa mara, unaweza jikuta umegonga leo kesho kaingia kwenye mzunguko, kwahiyo hapo bado uhangaike na kichupa!?
Umeniibia simu yangu ukatuma hili jibu nini? Maana nilikuwa nimjibu hivohivo. Madogo wanajiendekrza sana
 
Wiki moja tu ndo ikushinde? Sina mke na ninafanya nofap challenge mara kwa mara kila niki relapse naanza moja leo nipo siku ya 34, bila kuangalia picha chafu kufanya ngono wala kujichukulia sheria mkononi ni suala la maamuzi tu hisia zako ziwe ndani ya udhibiti wako ukiziacha hisia zikuendeshe mwisho wake mbaya
Screenshot_20240330_232006_I Am Sober.jpg
 
Wiki moja tu ndo ikushinde? Sina mke na ninafanya nofap challenge mara kwa mara kila niki relapse naanza moja leo nipo siku ya 34, bila kuangalia picha chafu kufanya ngono wala kujichukulia sheria mkononi ni suala la maamuzi tu hisia zako ziwe ndani ya udhibiti wako ukiziacha hisia zikuendeshe mwisho wake mbaya View attachment 2949499
Acha tuone
 
Back
Top Bottom