Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

Wewe aliyekuambia hao wanawake wamekosa wa kufanya nao nani au unahisi duniani mwanaume uko peke yako, au na wewe ndio wale mliodanganywa kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume kwahiyo nature inataka kila mwanaume awe na mwanamke zaidi ya mmoja, kwa taarifa yako hiyo nature imeshawasiliti kwenye upande wa population acheni umalaya watu kama ninyi ndio mnasababisha na wanawake nao wanalazimika kuwa malaya
 
Sijajua mnaoa wanawake wa aina gani,kwann asirap na mic mpaka wewe umwage??...mm wa kwangu tukiwa hatujasex wk mbili halafu ikatokea situation kama hyo huwa hajiulizi mara mbili anaomba mwenyewe mic arap...sasa mwanamke kama huyu unamcheat vp...sema wanaume tulivyo na roho ngumu tunacheat!
 
Sijui kama shule ulienda na kama ulienda sijui darasa la nne ulifaulu vipi.

Kwa wastani, wanaume ni wengi kwa 1% ama chini ya hapo kidogo dhidi ya wanawake ila natural factors kama vile ukichaa, magonjwa, vita, ushoga, sexual activeness, stress zinafanya wanaume ambao wako sexually active kupungua kwa zaidi ya 10% hivyo kufanya uwiano ama mizania isiyo sawa kwenye mahusiano.

Kwa msingi huo, iwapo kila mwanaume atakua na mwanamke mmoja wakati sehemu flani ya idadi ya wanaume haiko kwenye mahusiano basi 5% hadi 10% ama zaidi ya wanawake wataishi na watakufa bila kufanya mapenzi. Huu utakua ni unyanyasaji mkubwa sana mtu afe na utamu wake. Hilo haliwezekani lazima utamu uliwe.
 
Hizi ndio propaganda mnazokujaga nazo na nilijua tu na wewe lazima upite humo humo huwezi kuenda nje ya hapo, je unaifahamu idadi ya wanaume ambao wamekuwa affected na hizo factors kiasi cha kupelekea kushindwa kabisa kujamiiana na wanawake, na kwanini umeassume kana kwamba hizo factors ziko kwa wanaume tu ila wanawake idadi yao iko intact haiathiriwi na chochote
 
Nakaaga had miez mi tatu na ninalala na simfanyikitu sembuse wiki baba jela itakufunza we endelea kujidekeza
 
Kama unashindwa kuthibiti hisia zako kwa siku 5-7 utaweza kweli kuwa baba wa familia bora? Huyo mwanamke hana mume hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…