Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ngoja nilinde swaumu yangu, maana mi mwenyewe nina hasira nao hasa yule anaye DEMKA DEMKAKipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.
Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
ππππππππππππ
Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.
Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
ππππππππ Aseee.
Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
Wewe ndo Nani kati ya watoto wake tuliotajiwa na tuliofichwa?Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.
Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.
Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aseee.
Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
Walikuwa hawaongei kwakuwa alishawapangia vya kuongea na bongo zao wakamkabidhi, alikuwa hataki kusikia yoyote akiongea kile asichokipenda,Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.
Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.
Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aseee.
Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
amani???Apumzike kwa amani
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.
Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
ππππππππππππ
Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.
Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
ππππππππ Aseee.
Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
Ni kazi sana kwa binadamu kuongea mbele ya shetaniKipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.
Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.
Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aseee.
Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
Muuaji anapumzikaje kwa mfano?Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani.
Wameamua kufuga mitamba tu sasa Mabeberu hayana faidaCCM ni watu wanafiki balaa!! Kwa mfano sasa hivi hutasikia tena neno mabeberu