Kipindi mzee wangu Magufuli yupo walikuwa hawaongei ameondoka sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.

Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.

Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aseee.

Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
 
Ngoja nilinde swaumu yangu, maana mi mwenyewe nina hasira nao hasa yule anaye DEMKA DEMKA
 
Mzee wako angeweka pembeni ubabe mavi wake halafu aone jinsi watu wangemshambulia. Tatizo la huyo mzee wako hata vita vya mawe alikuwa anabeba Sub machine gun.
Hebu acheni kumtaja taja shetani anaweza akawa keshamchoka huko kuzimu akarudishwa tena huku kuja kutupa tabu.
 
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.

Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.

Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aseee.

Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
Wewe ndo Nani kati ya watoto wake tuliotajiwa na tuliofichwa?
 
Walikuwa hawaongei kwakuwa alishawapangia vya kuongea na bongo zao wakamkabidhi, alikuwa hataki kusikia yoyote akiongea kile asichokipenda,
 
Ndo utajua watanzania walivyo wanafiki pia mnatakiwa kujua hata ww unaecomment au kuview hii thread unapokuwa haupo ndugu ,jamaa,marafiki,wapenzi wanakusema vibaya sana .
 
Wabongo Jamani, Ndugai Kweli na wewe leo Unasema Mwendazake alishauriwa Vibaya, Wakati alikujengea Soko la Kisasa na Kulibatiza Jina Lako "Job Ndugai". Please waachie wapinzani tu waseme maana Joto la Jiwe walilionja Kipindi cha Mwendazake.
 
CCM ni watu wanafiki balaa!! Kwa mfano sasa hivi hutasikia tena neno mabeberu
 
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.

Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.

Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aseee.

Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.

Kama wewe ni binadamu lazima ukutane na wakati mgumu kuongea mbele ya shetani. Yule jamaa alikuwa ni shetani hilo halina mjadala. Kwahiyo ww endelea kulinda kaburi la huyo dhalimu tu.
 
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.

Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na hapo mnatufokea bureeee.

Mwanaume anaongea hapo hapo hasubiri mtu aondoke ndio anaanza kutupigia kelele kazi kufokeana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aseee.

Mzee wetu amefanya kazi kubwa anastahili aendelee kupumzika kwa amani. Amina.
Ni kazi sana kwa binadamu kuongea mbele ya shetani
 
Kuna anayejifanya hakutaki sababu mumeo yupo
Kuna anayevizia mumeo akiwa ametoka.
Kuna anayekuja mumeo akiwepo.
Kuna anayemuua mumeo ili asipate usumbufu.
 
Yatima hadeki, kubalini kugeuzwa geuzwa kama chips mayai
 
Back
Top Bottom