Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habarini za leo wakuu,
Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa.
Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave. Ofcourse nilimwelewa kwa mbalii lakini nilishindwa kusave nisiwe mwongo.
Mpaka leo huwa naikumbuka kauli ya mjomba. Japokua kipindi hicho nilishindwa kumwelewa. Nilikuja kumwelewa wiki ya pili mara baada ya kuingia mtaani. Khaaaaaaa
Karibuni graduate mtaani.