Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Rahisi sana kuishi kwa kusave boom kuliko kuishi mtaani bila mchongo na huna mtaji..Bumu lenyewe shilingi ngapi m boopaka uweze kusave...
Watu ambao hawajui mazingira ya chuo kikuu na maisha yalivyo kule wanaamini bumu ni hela za kutosha sana
πππππmaisha huwa yanaanzia ulipo sasa eti.Niko mwaka wa pili na siwezi save bumu hata unishikie bunduki. Mtaani waliopo mbona hawafi?
Mambo ya kutishana mimi huwa hayanipati mimi na rafiki yangu tulishasema MEALS AND ACCOMMODATION ni kwa ajili ya kula na kulipia kodi tu, bahati nzuri kodi tunalipa kwa hela nyingine. STATIONARY ni kwa ajili ya printings tu. FIELD ni kwa ajili hiyo, na bata za field ukouko. SPECIAL FACULTY ni mabuti na projects zake uko za kununua vifaa na kulipia vitu.
Serikali ya Tanzania ni bahiri sana kiasi hawawezi toa hela ya kuzidishia ili uanzishe biashara au ufanye savings kirahisi. Ukitaka hivo basi uishi kama shetani
Msiwe mnatusumbua sasa.. Kila baada ya week mbili unalialia umeishiwa.Niko mwaka wa pili na siwezi save bumu hata unishikie bunduki. Mtaani waliopo mbona hawafi?
Mambo ya kutishana mimi huwa hayanipati mimi na rafiki yangu tulishasema MEALS AND ACCOMMODATION ni kwa ajili ya kula na kulipia kodi tu, bahati nzuri kodi tunalipa kwa hela nyingine. STATIONARY ni kwa ajili ya printings tu. FIELD ni kwa ajili hiyo, na bata za field ukouko. SPECIAL FACULTY ni mabuti na projects zake uko za kununua vifaa na kulipia vitu.
Serikali ya Tanzania ni bahiri sana kiasi hawawezi toa hela ya kuzidishia ili uanzishe biashara au ufanye savings kirahisi. Ukitaka hivo basi uishi kama shetani
Kumbe ka fresher????Daaah kwa mwaka huu neshndwa ...labda mwaka wa pii
Kuishiwa ni lazima kama sasahivi wiki saba hivi zimepita tangu bumu litoke. Sasa imagine kuna wachache wanaotumia hilo kulipia ada inayobaki kwenye mkopo, wanalipia kodi au hostel. Hiyo hiyo ndio avae, ale, aishi vizuri mjini. Lazima kichwa kiwake moto alafu wazazi wengine uko Simiyu wanawaomba michango ya harusi hawa wanaopokea hela ndogo hivi.Msiwe mnatusumbua sasa.. Kila baada ya week mbili unalialia umeishiwa.
Upo sahihi.. Ila kuna mdau amesema hapo juu, utakapofikisha mwaka wa tatu kitaa baada ya kugraduate, umepauka hatari.. Ndo utakapokumbuka kumbe kale kakiasi kalikuwa kanawezekana kusave.. Hapo mdau upo kitaa, unatamani uokote hata mia ununue sabuni.. Hukumbuki tena kuvaa na kuishi vzr mjini.Kuishiwa ni lazima kama sasahivi wiki saba hivi zimepita tangu bumu litoke. Sasa imagine kuna wachache wanaotumia hilo kulipia ada inayobaki kwenye mkopo, wanalipia kodi au hostel. Hiyo hiyo ndio avae, ale, aishi vizuri mjini. Lazima kichwa kiwake moto alafu wazazi wengine uko Simiyu wanawaomba michango ya harusi hawa wanaopokea hela ndogo hivi.
Ila kuna wazazi wanalipia apartment laki 3 kwa mwezi ili mwanae asome na bado latest gadgets anamnunulia, hela anampa every week. Issue hapa ni kipato cha familia, kwenye hela hakuna vilio
Usinichukulie poa kama huyo mwanao anayekuombaomba hela. Hujui naishije, hujui background yangu, hujui investments zangu ni zipi, hujui nina resources gani mkononi na skills zipi ninazo. How comes unasema nitapauka mtaani?Upo sahihi.. Ila kuna mdau amesema hapo juu, utakapofikisha mwaka wa tatu kitaa baada ya kugraduate, umepauka hatari.. Ndo utakapokumbuka kumbe kale kakiasi kalikuwa kanawezekana kusave.. Hapo mdau upo kitaa, unatamani uokote hata mia ununue sabuni.. Hukumbuki tena kuvaa na kuishi vzr mjini.
Kuna madogo wanasave hiyo hiyo kidogo.
π³π³π³π³π³π³π³π³Na Bado....
Mpaka muanze kuongea wenyewe ndio mtatia akili. Na vyuo vinatema kila mwaka [emoji16][emoji38]π€£