Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kwa taarifa, Simba S.C iliasisiwa mwaka 1936 [miaka 79 iliyopita].. Ikiwa na majina tofauti tofauti.
Lakini Simba S.C unayotaka kujua mafanikio yake ilikuja duniani mwaka 1971[miaka 41 tu iliyopita].. na mafanikio yake makubwa ikiwa kushiriki fainali ya kombe la shirikisho.
Alafu kipindi tunafurahia mafanikio ya Mnyama.. tujiulize ni Timu gani ilishawahi kufikia au hata kusogelea haya mafanikio ya Mnyama katika ukanda huu wa EAC.
Kasema simba hataki faida sababu ana biashara zaidi ya mia zinampa faida,yeye anataka timu ifanikiwe na mashabiki(akiwemo yeye) wapate raha.
Huyu jamaa ashawahi kuidhamini simba miaka ya 2000 nakumbuka na ilifanya vizuri sana kipindi kile.
Hayo mafanikio unayoyazungumzia ni kiduchu sana,ni kwaajili ya kuitambia yanga tu,hebu nambie simba ilipata sh.ngapi kwa kufika final cuf na wamenunua nini,isiwe na akili za kizamani bwana uzeni timu ipate mafanikio ya kweli
huna lolote nyie ndio mnaowatundikia ma-hirizi wachezaji wetu tutokee kule mbweha wewe mwambie aliyekutuma kuwa huu ni wakati wa kidigitali sio analogi
#MoSimba
huna lolote nyie ndio mnaowatundikia ma-hirizi wachezaji wetu tutokee kule mbweha wewe mwambie aliyekutuma kuwa huu ni wakati wa kidigitali sio analogi
#MoSimba
mkuu Gor Mahia ya Kenya umeshachukua kombe la wa washindi na Villa ya Uganda ndio timu ya kwanza kucheza kombe la CAF lilipoanzishwaHayo mafanikio unayoyazungumzia ni kiduchu sana,ni kwaajili ya kuitambia yanga tu,hebu nambie simba ilipata sh.ngapi kwa kufika final cuf na wamenunua nini,isiwe na akili za kizamani bwana uzeni timu ipate mafani kio ya kweli
wakati Simba inafika fainali ya kombe la CAF ilikuwa chini ya ufadhiri wa Azim Dewj akishirikiana na baadhi ya wanachama wa Simba kma Mh. Ahmad Rashid aliyekuwa mbunge wa CUFHahaha.. siku zote "adui"yako anakuombea njaa.. sasa nashangaa huyu "adui" anayeniombea mwema!?!
Kipindi unataka kufahamu tulipata sh. ngapi hadi kufika final.. tunatakiwa ujiulize pia tulitumia sh. ngapi hadi kufika hapo. ..
NB: Kipindi hicho Timu zilikua zinajigharamia kila kitu.. hakukua na wadhamini kama wa sasa.