sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
1. Kipindi wenzetu wakimlipa Kocha wao Mkuu, Mwinyi Zahera Tsh. 6.8 milioni... Sisi tunamlipa Kocha wetu Mkuu, Patrick Ausssems dola 10,000 (Tsh. 22.7 milioni - mara 3 ya kocha wa wenzetu).
2. Kipindi wenzetu wakifanya usajili wao katika bendi za Kongo... Sisi tulikua busy tukizunguka bara zima la Africa kutafuta wachezaji mahiri wa kuitumikia timu yetu.
3. Kipindi wenzetu wakiendelea kushangilia kasi ya goli la ajibu... Sisi tunaendelea kufurahia kasi ya 4G ya ujenzi wa uwanja wetu wa Bunju.
4. Kipindi wenzetu, 'Babu' Tambwe akiwa ndo mchezaji anayelipwa hela nyingi kwa mwezi, Tsh. 7.6 milioni... Sisi mchezaji anayelipwa mkwanja mrefu ni Meddie Kagere, anakunja dola 5,500 zaidi Tsh. 12 milioni.
5. Kipindi wenzetu wachezaji wao wa kimataifa wakitafuta deiwaka kwenye bendi za kikongo kipindi hiki, huku wengine wakiwa busy saloon na wasanii wa Bongo Movie... Sisi wakwetu wako busy wakipambania mataifa yao yapate nafasi za kufuzu kushiriki AFCON mwakani.
6. Kipindi wenzetu wakipata tabu sana mwishoni mwa msimu uliopita wa VPL... Sisi tulipata ubingwa wa VPL.
7. Kipindi wenzetu watakapokua busy wakicheza na Mawenzi Market au Moro Kids katika mechi za kirafiki mwakani... Sisi tutakua tukipambana na Etoile Du Sahel au Al Ahly katika hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa.
.