Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Sifa za kijingaaKipindi wenzetu wakifungwa goli 3 ndani ya mechi 1 na mchezaji 1.. Sisi hizo goli 3 tumefungwa na wachezaji tofauti tofauti baada ya kucheza idadi ya mechi 6.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa za kijingaaKipindi wenzetu wakifungwa goli 3 ndani ya mechi 1 na mchezaji 1.. Sisi hizo goli 3 tumefungwa na wachezaji tofauti tofauti baada ya kucheza idadi ya mechi 6.
Majigambo mengi ila nimetazama CV ya Patrick anafundisha timu msimu mmoja mmoja..tatizo nini???huku mitaani wanasema ni mwalimu wa mieleka ndio maana mazoezini anakuja na viblanket wachezaji wasichubuke makalio.....wengine wamefika mbali wanadai ni Jehova witness...mark my words mtamfukuza kabla ya msimu kumalizika..midevu kama beberu...
Mkuu una stress??Siyo mmiliki wa Simba ila anashare Simba,anafanya ivyo bunju anatarget yake,muda utaongea
Kipindi wenzetu wakifungwa goli 3 ndani ya mechi 1 na mchezaji 1.. Sisi hizo goli 3 tumefungwa na wachezaji tofauti tofauti baada ya kucheza idadi ya mechi 6.
Bora hiyo hats umeielewa kuwa namaanisha neno hata. Hila siyo uongo wako unaotulisha hapa. Wakati mapenzi na ushabiki ukizidi utufanya tuonekane vichwa vitupu.We Ndala hiyo ni typing error.. Ni sawa nawe baada ya kuandika Hata ukaandika Hats.. Haya mambo yanatokeaga.
Katika keyboard ya simu yako mbele ya a kuna s.. Na mbele ya 6 kuna 7.. Sasa ubora uko wapi?Bora hiyo hats umeielewa kuwa namaanisha neno hata. Hila siyo uongo wako unaotulisha hapa. Wakati mapenzi na ushabiki ukizidi utufanya tuonekane vichwa vitupu.
Mo siyo mmiliki ni investorMkuu una stress??
1. Ulianza ujenzi wa uwanja Bunju ni kampeni.. Baada ya kukuelewesha, umeibuka na hili..
2. Mo anajenga uwanja kwa vile ana target zake.. (na si tena kampeni)
Alafu unatakiwa utambue kua.. Mo ndo mmiliki wa Simba SC kwa sasa.
Achana na huyu popoma bro.Sifa za kijingaa
Sasa kama anatarget zake kwa timu yake kuna ubaya gani?Siyo mmiliki wa Simba ila anashare Simba,anafanya ivyo bunju anatarget yake,muda utaongea
Asante kwa ushauriAchana na huyu popoma bro.
mngechomoa mechi ya Biashara united"tunajiandaa na mechi ya kimataifa na Yanga" aibu kubwa hii9. Kipindi wenzetu wakijisifia kua kocha wao Mkuu, ni Papaa, na maarufu sana katika kumbi za starehe hapo Kongo... Sisi tunajivunia kua na kocha ambae pia ni mwalimu wa mieleka kwani kasaidia kujenga fiziki ya timu, ambapo sasa timu inaweza kucheza masaa 10 bila kupumzika
mngechomoa mechi ya Biashara united"tunajiandaa na mechi ya kimataifa na Yanga" aibu kubwa hii
Mkuu, Usisahau kwamba pamoja na utani kuhusu Kaunda Stadium, Yanga ilikuwa ya kwanza kuwa na uwanja wake. Hata ule wa cha ndimu hamkuwa nao.1. Kipindi wenzetu wakimlipa Kocha wao Mkuu, Mwinyi Zahera Tsh. 6.8 milioni... Sisi tunamlipa Kocha wetu Mkuu, Patrick Ausssems dola 10,000 (Tsh. 22.7 milioni - mara 3 ya kocha wa wenzetu).
2. Kipindi wenzetu wakifanya usajili wao katika bendi za Kongo... Sisi tulikua busy tukizunguka bara zima la Africa kutafuta wachezaji mahiri wa kuitumikia timu yetu.
3. Kipindi wenzetu wakiendelea kushangilia kasi ya goli la ajibu... Sisi tunaendelea kufurahia kasi ya 4G ya ujenzi wa uwanja wetu wa Bunju.
4. Kipindi wenzetu, 'Babu' Tambwe akiwa ndo mchezaji anayelipwa hela nyingi kwa mwezi, Tsh. 7.6 milioni... Sisi mchezaji anayelipwa mkwanja mrefu ni Meddie Kagere, anakunja dola 5,500 zaidi Tsh. 12 milioni.
5. Kipindi wenzetu wachezaji wao wa kimataifa wakitafuta deiwaka kwenye bendi za kikongo kipindi hiki, huku wengine wakiwa busy saloon na wasanii wa Bongo Movie... Sisi wakwetu wako busy wakipambania mataifa yao yapate nafasi za kufuzu kushiriki AFCON mwakani.
6. Kipindi wenzetu wakipata tabu sana mwishoni mwa msimu uliopita wa VPL... Sisi tulipata ubingwa wa VPL.
7. Kipindi wenzetu watakapokua busy wakicheza na Mawenzi Market au Moro Kids katika mechi za kirafiki mwakani... Sisi tutakua tukipambana na Etoile Du Sahel au Al Ahly katika hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa.
.
.
.