Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
blah blah nyingi tunawajua simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
blah blah nyingi tunawajua simba
Mwezi huu wachezaji wa Simba watalipwa mshahara na nani?Daraja lipi hill?
Inacheza masaa 10 then inapokea kichapo kutoka kwa waranda Mbao, hii ni balaa mkuu!!!9. Kipindi wenzetu wakijisifia kua kocha wao Mkuu, ni Papaa, na maarufu sana katika kumbi za starehe hapo Kongo... Sisi tunajivunia kua na kocha ambae pia ni mwalimu wa mieleka kwani kasaidia kujenga fiziki ya timu, ambapo sasa timu inaweza kucheza masaa 10 bila kupumzika
Mkuu tulitegemea mashabiki wa Simba mtajikita kwenye issue ya kumuombea MO atoke salama huko alikopelekwa but wenzetu ndio kwanza mnaanza kejeli dhidi ya Yanga. Wakati mashabiki wa Yanga wameonesha mshikamano kwenye hili jambo. Si kama wanasimba walivyokuwa wanamkejeli Manji wakati akiwa kwenye Matatizo.Mkuu hili si jambo la kufurahisha hata kidogo. Usijihisi hapo ulipo upo salama.. Tukio hili linaweza mkuta mtu yoyote na mda wowote.. Tunatakiwa tumuombee uko alipo atoke salama.
Na sasa wakati tunamtafuta Mo, wenzetu wanafanya nini? [emoji27][emoji27][emoji40][emoji40][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]1. Kipindi wenzetu wakimlipa Kocha wao Mkuu, Mwinyi Zahera Tsh. 6.8 milioni... Sisi tunamlipa Kocha wetu Mkuu, Patrick Ausssems dola 10,000 (Tsh. 22.7 milioni - mara 3 ya kocha wa wenzetu).
2. Kipindi wenzetu wakifanya usajili wao katika bendi za Kongo... Sisi tulikua busy tukizunguka bara zima la Africa kutafuta wachezaji mahiri wa kuitumikia timu yetu.
3. Kipindi wenzetu wakiendelea kushangilia kasi ya goli la ajibu... Sisi tunaendelea kufurahia kasi ya 4G ya ujenzi wa uwanja wetu wa Bunju.
4. Kipindi wenzetu, 'Babu' Tambwe akiwa ndo mchezaji anayelipwa hela nyingi kwa mwezi, Tsh. 7.6 milioni... Sisi mchezaji anayelipwa mkwanja mrefu ni Meddie Kagere, anakunja dola 5,500 zaidi Tsh. 12 milioni.
5. Kipindi wenzetu wachezaji wao wa kimataifa wakitafuta deiwaka kwenye bendi za kikongo kipindi hiki, huku wengine wakiwa busy saloon na wasanii wa Bongo Movie... Sisi wakwetu wako busy wakipambania mataifa yao yapate nafasi za kufuzu kushiriki AFCON mwakani.
6. Kipindi wenzetu wakipata tabu sana mwishoni mwa msimu uliopita wa VPL... Sisi tulipata ubingwa wa VPL.
7. Kipindi wenzetu watakapokua busy wakicheza na Mawenzi Market au Moro Kids katika mechi za kirafiki mwakani... Sisi tutakua tukipambana na Etoile Du Sahel au Al Ahly katika hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa.
.
.
.
Tujiandae kutembeza bakuli kama wenzetu[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]We unajua?
Mzee KILOMONYI[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji38]Mwezi huu wachezaji wa Simba watalipwa mshahara na nani?