Kipindupindu (uchafu), gharama za maisha, uzamani na ubovu wa ICT, vyawakimbiza watalii Kenya

Ninarudia tena, Julius Malema, hakutosheka kusikia kwamba South Afrika ina GDP ya $350B. Yeye aliangalia ni nani anayemiliki hiyo GDP, 10% ya watu nchini humo humiliki 85% ya hiyo GDP, hakukubali kufurahia GDP ya kwenye makaratasi wakati wananchi wa kawaida hawana ardhi, hawana ajira, wanaishi katika slums, hawapati huduma bora za Afya, hakuna "security".

EFF ilianzishwa ili kuwarudishia wananchi wa kawaida GDP yao ambayo wabaisikia ipo ktk karatasi lakini haiwasaidii wananchi walio wengi. Huyo huyo Julius Malema ndiye aliteishangaa Kenya kwa kuona kwamba sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya unashikiliwa na Wazungu. Jambo la kushangaza ni kuona kwamba wakenya wenyewe hawaoni kama kuna tatizo wanabaki kuimba nyimbo za GDP kubwa.

Kuhusu tiba, Tanzania tunatoa tiba ya " Cancer" bure kwa kila raia kitu ambacho serikali yenu imeshindwa, sasa hiyo GDP inasaidia nini kama hata uwezo wa kuwajengea mabwaya ya maji wafugaji kule Turkana na Samburu hamuwezi?
 
How is it possible that people with low IQ like Kenyans, who can't even fight simple things like tribalism, corruption and extra judicial killings be able to have constructive discussion?.
Do you even have gray matter in between your ears???/All you have is smelly faeces ,that's why you argue like an imbecile all the time....SI UNITOF STUPIDITY ANYWAY IS JOTO LA JIWE
 
Ttttttttttt nimeamini kuwa Kenya is a failed state amongst.
Yani Kenya vitu vingi vinafeli siku hizi sijui wanaelekea wapi hawa jamaa???!!!!
Ukiwaambia ukweli watakuja kujitapa na GDP kubwa hapa ambayo imeshindwa kuwaondolea njaa,imeshindwa kuleta fursa za ajira,imeshindwa kurahisisha maisha ya wananchi mpk wanajiua kisa ugumu wa maisha na imeshinda kulipa maden mpk yanalimbikizana.

Yani hao wenzao wanapanda wao wanashuka.
Asa uchumi gani mkubwa sijui wanajisifia hawa jamaa ikiwa kila wanalofanya siku hz ni kufeli tuu???!!
Great economy in the region alitakiwa awe kigezo wa mataifa alioyazidi lakin hlo ni tofauti kwa Kenya.
Hatuna cha kuwawekea Kenya kigezo chetu maana kila kitu chao kinaanguka siku hz.
Yani wamebakia kujishebedua na kuringia maghorofa yasiyo na tija kabbisa.
Duh pole sana kwao.
Watz tupige kaz maana hatujaachwa mbal na hawa majamaa soon tunawakuta.
Wao wanapiga hatua za mlevi moja mbele tatu nyuma sisi hatua za mkimbize mkimbize soon tutawakuta INSHAALLAH.
 
Once again, typical Tanzanian....

Hapo juu nliongelea kuhusu Utajiri wa watu binafsi, wewe unanielezea kuhusu GDP!!!

Wealth” refers to the net assets of a person. It includes all their assets (property, cash, equities,
business interests) less any liabilities.


Kenya, nchi ilio haina Usalama, Haina "huduma bora za Afya, 'haina hela', Haina watu wenye Akili za kufikiria, haina chakula...etc

Death rate per 1,000 people 5.483





Tanzania, Nchi ya maziwa na Asali watu wakarimu, walio na busara, wanao tii sheria, watu wenye "Afya bora", chakula bora, mashamba yenye rotuba,....etc Mortality rate per 1,000 = 6.384




Source: http://worldpopulationreview.com/countries/death-rate-by-country/

Sasa hapa ni nani ndo anadanganywa eti wako hali nzuri zaidi??? Hao madaktari wenu wako wapi wakati watu wanakufa kwa magonjwa?
 
How do you calculate utajiri wa individual people in a given country?, you must take GDP of that country divide by number of the citizens. In Kenya 62% of GDP is owned by only 6000 people, therefore in order to get per capita which refkects the real figure, you need to take the remaining 32% of GDP, divide by 45M
 
And the remaining 6%??
 
Wealth is calculated by properties and money you have in the bank minus loans.... GDP is how much you produce interms of goods and services in one financial year.....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…