Kiporo cha wali wa kwenye fridge kimenishinda

Kiporo cha wali wa kwenye fridge kimenishinda

Hiz mada zingine sometym miyeyusho kbs but let me hold it for today and its only because of your experiance here in jf!
 
Nilikuwa nakula viporo hadi nikaona napata kitambi mviringo imebidi niache maana kiporo kitamu. Haswa wali maharage. Huwa siweki kwenye fridge nakiacha jikoni au kukiwa na joto nachukua karai la vyombo naweka maji kidogo nadumbukiza sufuria la wali mambo murua. Best leo umeota kiporo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuuu kwakweli wewe ni mtaalamu
 
Kipolo ni kitamu sana lakini inabidi nipike cha kula leo na kesho. Jana ilikuwa Birthday ya shost na chakula kingi kilibaki. Amenipa ki ndoo kidogo cha pilau ninawaza nitakuhifadhi vipi.
Uko maeneo gami mkuu nikifate maana kipolo cha sherehe ni balaaa kitamu kweli
 
ukitoa kiporo pasha moto vizur.gonga mayai mbogamboga yenye yoyo,karot,nyanya ile changanya pamoja wee na chai yako ..safi
 
Awamu hii lazima kila mtu akipende kiporo , Mimi pia nakipenda saana haswa na maharage
Ahsanteni.
 
Usilaze kwenye fridge, hakikisha usiku ukishapakua kile kimebakia kwenye sufuria kama ni wali acha wazi upoe kisha funika kama kuna joto sana waweza wazi hakikisha tu hakiingii wadudu au vinyesi wa wadudu kama mijusi waweza funika kung'uto au chujio kupitisha hewa kwenye yale matundu

Kama ni maharage pakua size unakula yatakayobakia yapashe moto yakipoa finika ubaamka unakuta taste ile ile fresh kabisa tena ukitaka kuongeza usiyatiwe upawa kuchotea waweza mimina tu ukiyachota yatachacha kama hujayapasha
Kumbe sijakosea nikama mim nilivyosema.
 
Mi wali siweki kwenye friji!
unabaki jikoni nafunika vizuri!
asbh UTANIKOMA saa tano tano hivi!
naumwagia ndondo ,na glass ya maji baridi!
hapo nishatoka kusukuma makabati nimeoga nimekaa chini ya mti!
kitennge kifuani!
nimenyoosha miguu kwenye mkeka, chini ya mti!
ah salaaaale!
TUKUTANE SAA 10 JIONI!
 
Back
Top Bottom