Kiporo cha wali wa kwenye fridge kimenishinda

Unakulaje kiporo?
Unashindwaje kupika kinachotosha??
Ninapenda kula kiporo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.

Nimeshindwa pia kula kiporo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo kiwe cha lunch time.
 
Wali ukishalala silagi kabisa,unanishinda maana unaleta gesi tumboni na pia taste yake ya nazi inapotea....Wali ule wa leo leo tena unapika na tui la nazi,kisha harage nazi,kisamvu cha nazi pembeni unapiga na SATO au TASI wa kukaanga si mchezo lazima ufutuke uwe kama ASHABOKO.
 
Ninapenda kula kiporo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.

Nimeshindwa pia kula kiporo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo kiwe cha lunch time.
Kiporo chako hakina chambichambi ndio maana hakina ladha. Wanaume tutafute pesa kwanza ili Kiporo kiwe na ladha.
 
Hivi ni kitambi gani mmnacho kizungumzia mi nimekula kiporo kwa miaka kama 7 hicho kitambi sikioni kabisa au
Wataalamu wa lishe ndio wanasema hivyo mkuu.....sijui vitambi vya aina gani ila mie silagi viporo mkuu so siwezi jua kama vinaleta au lah.
 
Back
Top Bottom