Kiporo cha wali wa kwenye fridge kimenishinda

Hiz mada zingine sometym miyeyusho kbs but let me hold it for today and its only because of your experiance here in jf!
 
Mkuuu kwakweli wewe ni mtaalamu
 
Kipolo ni kitamu sana lakini inabidi nipike cha kula leo na kesho. Jana ilikuwa Birthday ya shost na chakula kingi kilibaki. Amenipa ki ndoo kidogo cha pilau ninawaza nitakuhifadhi vipi.
Uko maeneo gami mkuu nikifate maana kipolo cha sherehe ni balaaa kitamu kweli
 
ukitoa kiporo pasha moto vizur.gonga mayai mbogamboga yenye yoyo,karot,nyanya ile changanya pamoja wee na chai yako ..safi
 
Awamu hii lazima kila mtu akipende kiporo , Mimi pia nakipenda saana haswa na maharage
Ahsanteni.
 
Kumbe sijakosea nikama mim nilivyosema.
 
Mi wali siweki kwenye friji!
unabaki jikoni nafunika vizuri!
asbh UTANIKOMA saa tano tano hivi!
naumwagia ndondo ,na glass ya maji baridi!
hapo nishatoka kusukuma makabati nimeoga nimekaa chini ya mti!
kitennge kifuani!
nimenyoosha miguu kwenye mkeka, chini ya mti!
ah salaaaale!
TUKUTANE SAA 10 JIONI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…