Kiporo cha wali wa kwenye fridge kimenishinda

Mm nakipenda jamani mbona hiko kitambi sina
Hahaa wataalamu wa lishe ndio wanasema hivyo ila pia inategemea na mwili wa mtu,kuna mwingine akila tu wiki milo mi3 anafutuka,wengine wanakula majunk fook kama yote wanafakamia lakini mwili kama wa warioba.
 
Mm kwakweli chakula kikibaki kwangu asubuhi lazima nikiamshe sina kitambi wala nn
 
Ninapenda kula kiporo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.

Nimeshindwa pia kula kiporo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo kiwe cha lunch time.
Hivi unawekaje wali kwenye friji kwa mfano? Matatizo mengine mnayatafuta wenyewe
 
Watoto Wa kitanga wamekutana kwa mapishi...ngoja sisi tuwe watazamaji
 
Ninapenda kula kiporo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.

Nimeshindwa pia kula kiporo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo kiwe cha lunch time.
Hicho kiporo bado unacho au umeshakitupa? Nipe location nikijie jioni hii
 
Ninapenda kula kiporo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.

Nimeshindwa pia kula kiporo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo kiwe cha lunch time.
Kwa hiyo
 
Pole sana.Sasa kwanini wali uweke kwa fridge, au unaweka kwa siku kadhaa? Mimi ni "follower" wa kiporo hasa cha wali, ama pilau.Kamwe hatuweki kwa fridge hasa ikiwa kimebaki leo usiku, asubuhi ninacho.

Tena, japo si vizuri kiafya, mara nyingi kama hali ya hewa si baridibaridi, nakigonga bila hata kupasha.

Usikute unaupika vibaya na hivyo unakuwa hauhimili kukaa kwa muda na kupelekea kuchacha.Wali "smart" unaweza kubaki usiku wa kuamkia leo ukashinda hadi adhuhuri na ukawa bomba tu labda kuwe na hali ya hewa ya joto sana na hasa ikiwa umepikwa kwa nazi.

Nawasalimu "followers" wote wa viporo

Ninawasilisha
 
Mimi siwezi kula chakula kilichopashwa kwenye microwave, naonaga kinakuwa na harufu flani hivi naweza hata kutapika
 
Mimi mwenyewe sipendi kiporo kipashwe jamani
 
...sijui vitambi vya aina gani ila mie silagi viporo mkuu so siwezi jua kama vinaleta au lah.
Kumbe huna uhakika kama vinaleta kitambi au laa.. Sasa mbona mwanzo ulisema kwa uhakika kabisa eti (huku umebana pua) "kiporo kinaleta kitambiii, usileee"
 
Comment ya kwanza vilaeta vitambi ,comment ya pili sijuivitambi vya aina gani.....Bado haujaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…