Mawazo yangu yalinipeleka mbaaali sana aisee!Habari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu?
Yaani nimeona niulize wala viporo wenzangu kwa sababu hapa namalizia kunywa chai na kiporo cha kisamvu yaani nimekaa chini kabisaa kwa utamu nikimaliza kupost uzi huu nashushia na juice ya embe, lol.
Nitapungua mwakani jamani[emoji38][emoji38]
Hebu nambie kiboko yako ya kiporo ni ipi mwenzetu.
~MC~
Ndizi uganda ndio ipi jomoniiiKiporo cha ndizi uganda mixer nyama iliungwa na nazi ikaungika aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapii☹️
Hapo kwenye wali maharage mixer chai yenye sukari[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]milele na milele huu msosi utabaki kileleniWali maharage mixer chai imekolea sukari ebwanaaaa wachaaaaa kingine ni kiporo cha ugali wabaridiii na chai ya motoooo afu imekolea sukari hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nachemsha kitimoto jioni then nakitundika kinakauka halafu kesho yake asubuhi nalia na chai![emoji41][emoji41][emoji41]
Ni kweli Mkuu... makande yaliyolala na wali maharage uliolala vinachuana katika kunoga na hata ukisema upambAnishe mtanange wake huo utakuwa mzitoKiporo cha kande! Kiwe na nazi.. Askwambie mtu, unaweza ukajing'ata kidole.
Habari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu?
Yaani nimeona niulize wala viporo wenzangu kwa sababu hapa namalizia kunywa chai na kiporo cha kisamvu yaani nimekaa chini kabisaa kwa utamu nikimaliza kupost uzi huu nashushia na juice ya embe, lol.
Nitapungua mwakani jamani😆😆
Hebu nambie kiboko yako ya kiporo ni ipi mwenzetu.
~MC~