SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Mawazo yangu yalinipeleka mbaaali sana aisee!Habari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu?
Yaani nimeona niulize wala viporo wenzangu kwa sababu hapa namalizia kunywa chai na kiporo cha kisamvu yaani nimekaa chini kabisaa kwa utamu nikimaliza kupost uzi huu nashushia na juice ya embe, lol.
Nitapungua mwakani jamani[emoji38][emoji38]
Hebu nambie kiboko yako ya kiporo ni ipi mwenzetu.
~MC~
Sent using Jamii Forums mobile app