Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Nyinyi wenye hela mnazidiwa vipi dau na Kizer Chiefs?Hela hamna, huyo Ndala alitakiwa aje Simba zamani, ila Yusuph Bakheresa kawavua dk za mwisho na usajili Azam sasa hivi anasimamia mwenyewe hamna madalali kama wale wa Simba na Yanga aka kamati ya usajili.
Mamluki wanawaangushaAzam wakiwa wana sajiri unaweza hadi ogopa jinsi vyuma vinavyo shushwa, lakini sasa mmmh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani nyinyi mlizidiwa vipi dau na Azam kwa Sopu.Nyinyi wenye hela mnazidiwa vipi dau na Kizer Chiefs?
Sopu hakuwahi kuwa kwenye mipango ya Simba Sc, sio kila mchezaji unaesikia fununu kutoka kwa waandishi uchwara ni kweli anakuwa anatakiwa Msimbazi.Kwani nyinyi mlizidiwa vipi dau na Azam kwa Sopu.
Ila Kipre yule jamaa ni msumbufu. Na itakuwa aina ya uchezaji wake ndio unampa majeraha.Kipre ni injury prone. Ndala mzito. Hizo dili haziwezekani msimu huu
Msimu ujao sie ni man city ya bongoAzam wakiwa wana sajiri unaweza hadi ogopa jinsi vyuma vinavyo shushwa, lakini sasa mmmh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio fununu brother,ilikuwa real kama Aziz K na Azam ,we endelea kukaa hivyo hivyo, mtaendelea kuwasajili wakina Sawadogo kama sio mamafia.Sopu hakuwahi kuwa kwenye mipango ya Simba Sc, sio kila mchezaji unaesikia fununu kutoka kwa waandishi uchwara ni kweli anakuwa anatakiwa Msimbazi.
Ni kweli kabisa. Na bado ni mdogoIla Kipre yule jamaa ni msumbufu. Na itakuwa aina ya uchezaji wake ndio unampa majeraha.
Unajua tumezoea kuona mchezaji mfupi ndio ana spidi ila Kipre ni mrefu ila ana spidi na ana uwezo wa kukusanya mabeki, ijapokuwa sijui kama huwa anafunga magoli na yeye!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Umeandika jambo la msingi sana, kuna haja ya kubadili sana vinginevyo tutakuwa tunasajili akina Mamadou Dombia, Kambole , Bigirimana na Aziz Ki wasioweza kutusaidia chochote.Sio fununu brother,ilikuwa real kama Aziz K na Azam ,we endelea kukaa hivyo hivyo, mtaendelea kuwasajili wakina Sawadogo kama sio mamafia.
Kama nyie mlivyo wasajili wakina Okwa, Akpan, Okrah na Sawadogo, ila uzuri Sawadogo kawambia msimu ujao una uwasha moto,kwa kutumia viberiti mlivyo tumia South,so mvumilieni mpeni mda.Umeandika jambo la msingi sana, kuna haja ya kubadili sana vinginevyo tutakuwa tunasajili akina Mamadou Dombia, Kambole , Bigirimana na Aziz Ki wasioweza kutusaidia chochote.
Bora huyu aliyejitokeza kusema kitu, achana na yule mliyemficha AVIC TOWM nusu ya msimu huku mkisingizia kaenda Uganda kwa mkopo, kisha mkamrudisha kwao Zambia.Kama nyie mlivyo wasajili wakina Okwa, Akpan, Okrah na Sawadogo, ila uzuri Sawadogo kawambia msimu ujao una uwasha moto,kwa kutumia viberiti mlivyo tumia South,so mvumilieni mpeni mda.
View attachment 2659599